制作

出演艺人
Maua Sama
Maua Sama
表演者
luffa
luffa
贝斯
作曲和作词
Maua Sama
Maua Sama
词曲作者
制作和工程
luffa
luffa
工程师

歌词

Pole pole usiniibie penzi ya habiby
Mwanzo mwisho nitabaki nawewe kipenzi
Everyday I Feel Faith Kuwa Nawe
U gat me up high
Unanipa Kile Nataka Nafurahi Yeah Uwatoe Nishai Wote Waliotaka mimi nawe tuachane
And I Feel Alive
Ulikuwa Wapi All The Time
Penzi Usiogope Fame Dunia Yetu Mi Na We Tuwe Wote Kila Sehem
I wanna be your Main chick
Nakupenda, Nakupenda
I wanna be your Main chick
Nakupenda, Nakupenda
Or let me be the main chick
Nakupenda, Nakupenda
I wanna be your main chick
Nakupenda, nakupenda
Nakupa jina we ndio mume wangu
We ni nyongo
Mkalia ini langu
Nafsi yangu imeridhia
Sitokimbia
Nitazikwa nawewe
Pole pole usininyime penzi laazizi
Tujinome raha ya mapenzi
Tufurahi
U gat me up high
Unanipa Kile Nataka Nafurahi Yeah Uwatoe Nishai Wote Waliotaka mimi nawe tuachane
And I Feel Alive
Ulikuwa Wapi All The Time
Penzi Usiogope Fame Dunia Yetu Mi Na We Tuwe Wote Kila Sehem
I wanna be your Main chick
Nakupenda, Nakupenda
I wanna be your Main chick
Nakupenda, Nakupenda
Or let me be the main chick
Nakupenda, Nakupenda
I wanna be your main chick
Nakupenda, nakupenda
Written by: Maua Sama
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...