音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Rayvanny
Rayvanny
声乐
作曲和作词
Rayvanny
Rayvanny
词曲作者
制作和工程
Lizer Classic
Lizer Classic
制作人

歌词

Wenye wivu wasijinyonge, ila wapigwe shoti wafe
King'asti wangu yupo hapa, usinishike bega niache
Nakupa yote mung'unya, utamu wa pipi mate, babe kwa mapenzi uko chuo hauko tena kindergarten
Marashi ya pemba amechanganya na tanga, mtoto kama Saida Karoli, anavyochambua karanga
Na simuachi nampenda, ye pete mi chanda, L-O-V-E (I love you) kama Kissim Mganga
Presha inapanda, presha inashuka, wanaovimba watapasuka
Nikikupost namba insta patachafuka, watatamani kuhack waje kufuta hao
Lelelee
Wanaweweseka hao
Wanakopa bando watuperuzi
Wanaweweseka hao
Mama nipe mambo, tuwaudhi
Wanaweweseka hao
Basi cheka-cheka ukideka deka na mimi
Wanaweweseka hao
Ndege, tausi maringo na tegee, umbo kifusi, nyuma kishindo
Nikubebee, kwa wenye chuki wakate shingo, sitaki rede mi nabunduki nawe talindo
Udongo gani? ulo kufinyanga mwali wewe, mganga gani, alopiga manyanga mwali wee
Majungu si mtaji
Ayayayaa
Maneno sio radi
Ayayayaa
Jasho linawatoka maji
(I love you daddy)
Marashi ya pemba, amechanganya na tanga, mtoto kama Saida Karoli, anavyochambua karanga
Na simuachi nampenda, ye pete mi chanda, L-O-V-E (I love you) kama Kassim Mganga
Presha inapanda, presha inashuka, wanaovimba watapasuka
Nikikupost namba Insta patachafuka, watatamani kuhack waje kufuta hao
Lelelee
Wanawewesena hao
Wanakopa bando watuperuzi
Wanaweweseka hao
Mama nipe mambo, tuwaudhi
Wanaweweseka hao
Basi cheka-cheka ukideka deka nami
Wanaweweseka hao
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...