音乐视频

音乐视频

制作

歌词

[Verse 1]
Baby all I want is for you to be here
If sun goes down you know Imma still be here
Penzi la ujazo lijae mpaka pomoni ehh
Wawili kama macho, only me and you (Me and you)
[PreChorus]
Nishajitoa mie sadaka, nitakufuata kila kona
Kama gari ndiyo lishawaka, usijali ata wakinon'gona
Future yetu ndiyo ishajengeka, kwa mbali kama naiona
You're my one and only true love, nisha-verify we ni noma
[Chorus]
Never ever, ever ever leave you alone (Nitakung'ang'ania mpaka mwisho)
Never ever, ever ever leave you alone (Wewe na me, niwe na wewe mpaka kifo wooh)
Never ever, ever ever leave you alone (Baby mpaka mwisho)
Never ever, ever ever leave you alone (Ooh, ooh yeeah)
[Verse 2]
Umeniganda -ganda, kuku usiniache kifaranga
Umeniwa-wa-washa, kama ni nazi ishakoleaga
Kamoyo kangu umeshakateka, usije niacha me pekeyangu nitateseka
Ukiwa mbali natetereka, ubaridi unavyoniganda natetemeka
[PreChorus]
Nishajitoa mie sadaka, nitakufuata kila kona
Kama gari ndiyo lishawaka, usijali ata wakinon'gona
Future yetu ndiyo ishajengeka, kwa mbali kama naiona
You're my one and only true love, nisha-verify we ni noma heeii
[Chorus]
Never ever, ever ever leave you alone (Nitakung'ang'ania mpaka mwisho)
Never ever, ever ever leave you alone (Wewe na me, niwe na wewe mpaka kifo wooh)
Never ever, ever ever leave you alone (Baby mpaka mwisho)
Never ever, ever ever leave you alone (Ooh, ooh yeeah)
Written by: Sam Creatory
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...