制作
歌词
Torres music
Wacha nifungue roho jina langu ni dela
Nipe glassi, nipe maji na chupa ya tequilla
Siamini macho yangu
Rafiki yangu na ex wangu wanapigana mate, nyuma ya mgongo wangu
Na ni kweli umechange
Siku hizi uko fishy
Unalenga message zangu simu zangu haushiki
Siamini mna date, mapenzi haya tangu lini
Kumbe mjinga ni mimi
Kumbe mjinga ni mimi
With friends like this, with friends like this
Who needs an enemy, enemy
With friends like you, with friends like you
Who needs an enemy, enemy
Nimecatchi mafeelings yoyo
Nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings yoyo
Nimecatchi mafeelings
Siamini macho yangu
Nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings yoyo
Nimecatchi mafeelings
Nashangaa sana na wewe bana umeshindwa ku upgrade
Mimi kuku wa kienyeji ni tamu kuliko ya grade
Tena sana nawacharge tabia zenu ni ratchet
Bila mi hakuna nyinyi hamtawai ni forgetii...
With friends like this, with friends like this
Who needs an enemy, enemy
With friends like you, with friends like you
Who needs an enemy, enemy
Nimecatchi mafeelings yoyo
Nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings yoyo
Nimecatchi mafeelings
Siamini macho yangu
Nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings yoyo
Nimecatchi mafeelings
Nimwache nimwache nimwache kasema
Kwani yeye mwongo
Nilidhania wanitakia mema
Kumbe fisi yo yo
Nimwache nimwache nimwache kasema
Kwani [?] kapata chongo
Nilidhania wanitakia mema
Kumbe fisi yo yo
With friends like this, with friends like this
Who needs an enemy, enemy
With friends like you, with friends like you
Who needs an enemy, enemy
Nimecatchi mafeelings yoyo
Nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings yoyo
Nimecatchi mafeelings
Siamini macho yangu
Nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings yoyo
Nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings yoyo
Nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings yoyo
Nimecatchi mafeelings
Siamini macho yangu
Nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings yoyo
Nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings
Nimecatchi mafeelings
Written by: Adeline Maranga, Dela