音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Treyzah
Treyzah
表演者
作曲和作词
Kerwin Amos Swai
Kerwin Amos Swai
作曲

歌词

Ooh bby slow aya mapenzi yamezid mpk me naogopa,
No time to stop oooh
Kwenye joto barid bado napasha mboga,
Tunapendana sana tunaenda hawapendi tuwe kwenye huba
Tunaendana mama true love
No drama mi nafaidi
Upendo wako super
Yote haya ni mapenzi
me sisemii umenipumbazaa
Moyo wangu una shake
Kwenye bed ukinikumbata,
So tujenge family..........
Mimi na we wawiliii.......
She lock away my x
She lock away my stress
Sasa nawaza family
For your love i stay
Usiniangushe
Ntapoteza stahimili
Kwa penz lako mi nakuwa mtoto
Kila mtoko I follow
The way u go
I don’t no no
Sijawai ona wivu me maishani mwangu
Like I never dating and somebody
Watabaki kodo kuangalia
Uko somewhere na somebody
Yote haya ni mapenzi
me sisemii umenipumbazaa
Moyo wangu una shake
Kwenye bed ukinikumbata,
So tujenge family..........
Mimi na we wawiliii.......
Written by: Kerwin Amos Swai
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...