歌词
Ona tumependana hadi twafanana, wameshauliza lini twaona
Imeshatokea mingi mitihani, ila bado tuu twakazana
Jana nimepita kwa jirani, akatupa jiwe gizani
Ati huyu ndiye yule binti mrembo aliyedata na penzi la msani
Mayi we! Mayi we! Hivi nani kakudisi nambiye ni dili nayeye
Honey we, honey we hao usiwape muda, wanaume kama kina dada
Baby we mtamu! Baby we mtamu
Baby we mtamu! Baby we mtamu
Baby we mtamu-mtam! Mtamu hadi napata wazimu
Baby we mtamu! Baby we mtamu
Baby we mtamu! Baby we mtamu
Baby we mtamu-mtam! Mtamu hadi napata wazimu
I don't need somebody, I just wanna love you my baby
I don't need somebody, I just wanna love you my baby
Umwambiye mama natafuta mali, nitakuja kukowa
Nitakwenda kumpoza daddy, nimwambiye mambo bado
Apunguze makasiriko, kwani maji yapo kwenye jiko
Honey wee honey wee, icemezo naragifashe
Niwewe w'ubuzima bwanje, ooh baby oohh
Baby we mtamu! Baby we mtamu
Baby we mtamu! Baby we mtamu
Baby we mtamu-mtam! Mtamu hadi napata wazimu
Baby we mtamu! Baby we mtamu
Baby we mtamu! Baby we mtamu
Baby we mtamu-mtam! Mtamu hadi napata wazimu
I don't need somebody, I just wanna love you my baby
I don't need somebody, I just wanna love you my baby
My wee, my wee, hivi nani kakudisi, niambiye ni deal nayeye
Baby we mtamu! Baby we mtamu
Baby we mtamu! Baby we mtamu
Baby we mtamu-mtam! Mtamu hadi napata wazimu
Baby we mtamu! Baby we mtamu
Baby we mtamu! Baby we mtamu
Baby we mtamu-mtam! Mtamu hadi napata wazimu
Written by: Sat-B