制作

出演艺人
Rayvanny
Rayvanny
表演者
作曲和作词
Rayvanny
Rayvanny
词曲作者

歌词

[Verse 1]
Kabla haijanijua dunia (Aah) ulinijua mama
Kabla sijajua jina langu nilitaja jina lako mama
Kwenye maisha magumu ulinionyesha tabasamu lako
Ulipopitia machunguu ulificha nisione chozi lako
Mzigo wa majukumu bado hukunitupa damu yako
Hata nikupe nini bado sitolipa wema wako
[Verse 2]
Uliningojea mama kama sijaanza kunyonya
Nikatambaa nikatembea ukabangaiza nikasoma
Nakuombea mama nina imani unaniona
Dunia nzima inikatae upendo wako hautokoma
[Chorus]
I love you uh-uh mama (Mama eeh)
I love you uh-uh mama (Mama eeh)
I love you uh-uh mama (Mama eeh)
I love you uh-uh mama
Mama mama
We mama yangu
Mama mama
I love you mama
Mama mama
We mama weeh
Mama mama
Mama eeh
[Verse 3]
Awe kilema, awe kipofu ni mama
Awe maskini, mgonjwa wa akili ni mama
Hata awe bubu, haongei ni mama
Awe omba omba, barabarani ni mama
Kuna mwinigine amenyanyasika kwa ndugu na jamaa
Mwisho akafukuzwa na kuranda randa kwenye mitaa
Jua lake, mvua yake, nateseka na njaa
Kichwani mawazo, muda wote, ameshika tama
Anabaki akisema uko wapi mama?
Rudi nikuone nateseka sana
Aah ye-yeh
Uko wapi mama
Mwanao nakumiss pumzika salama hee
[Chorus]
I love you uh-uh mama (Mama eeh)
I love you uh-uh mama (Mama eeh)
I love you uh-uh mama (Mama eeh)
I love you uh-uh mama
Mama mama
We mama yangu
Mama mama
I love you mama
Mama mama
We mama weeh
Mama mama
Mama eeh
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...