音乐视频

音乐视频

歌词

[Verse 1]
Bwana neno lako
Ni faraja kwetu na nguvu yetu
Bwana neno lako
Ni faraja kwetu na nguvu yetu
[Verse 2]
Bwana neno lako
Ni faraja kwetu na nguvu yetu
Bwana neno lako
Ni faraja kwetu na nguvu yetu
[Verse 3]
Guza kanisa lako
Watoto wako twaomba faraja yako
Guza watumishi wako
Shambani mwako tutendalo kazi yako
Guza kanisa lako
Watoto wako twaomba faraja yako
Guza watumishi wako
Shambani mwako tutendalo kazi yako
[Verse 4]
Utupe nguvu Baba
Utufariji tena
Maana neno lako ndilo nguvu yetu
Utupe nguvu Baba
Utufariji tena
Maana neno lako ndilo nguvu yetu
[Chorus]
Bila uwepo wako Yesu hatuna nguvu
Ndani yako ewe Yesu twapata nguvu
Bila uwepo wako Yesu hatuna nguvu
Ndani yako ewe Yesu twapata nguvu
[Chorus]
Bila uwepo wako Yesu hatuna nguvu
Ndani yako ewe Yesu twapata nguvu
[Refrain]
Tutatwala tena, tutatwala tena
Tutatwala tena na Bwana
Tutatwala tena, tutatwala tena
Tutatwala tena na Bwana
[Refrain]
Tutatwala tena, tutatwala tena
Tutatwala tena na Bwana
Tutatwala tena, tutatwala tena
Tutatwala tena na Bwana
[Outro]
Bila uwepo wako Yesu hatuna nguvu
Ndani yako ewe Yesu twapata nguvu
Written by: Samwel Limbu
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...