制作
出演艺人
Dj Seven Worldwide
表演者
Ibraah
表演者
Salim Sadick Mutalemwa
领唱
作曲和作词
Salim Sadick Mutalemwa
词曲作者
Ibrahim Abdallah Nampunga
词曲作者
制作和工程
B Boy
制作人
歌词
[Verse 1]
Jua majuto mjukuu yasije nikuta mama
We ndo yangu sarafu usije chezwa danadana
Kama mfugwe kuku tena mwenye laini nyama
Nitaifikia tu ata miguru kibana onana
Na mahaba komoa maana nishapenda nasioni mwingine na
Uniburute uniweke kwa tenga kwako kondoa mwana aah
[Chorus]
Kweli ninapenda unavyonipea (Ya moto)
Unavyonibana nimezoea (Kama kopo)
Najingangata ngata utamu kolea ukinionjesha kidogo
[Chorus]
Kwako mi ni kinda we unanilea (Mi ni mtoto)
Nikiota mbawa tutapepea (Kama popo)
Sitoruhusu furaika potea
[Verse 2]
Kuachana nawe were ni ndoto
Lepete oh mamama
Mpaka chini tepete hizo nyama
Usiikwepweshe oh mama
Mpaka chini tepete hizo nyama
[Refrain]
Eti umejipondoa (Mama)
Waoneshe unavyojishongondoa (Oh mama)
Ukisuka ata ukinyoa (Oh mama)
Unapendeza mama mpaka unaboa (Oh mama)
[Verse 3]
Nimenasia yaani sielewi mgambo niko lindoni
Unavyonikumbatia sa niseme nini mwingine ata simwoni
Nyuma kama umefunga booster, booster
Kiuno unavyotupa
Joy kali ya soda chupa, chupa
Wala hautajutaa eh
[Chorus]
Kweli ninapenda unavyonipea (ya moto)
Unavyonibana nimezoea (Kama kopo)
Najingangata ngata utamu kolea ukinionjesha kidogo
[Chorus]
Kwako mi ni kinda we unanilea (Mi ni mtoto)
Nikiota mbawa tutapepea (Kama popo)
Sitoruhusu furaika potea
Kuachana nawe ni ndoto
[Refrain]
Baby lepete (Oh mamama)
Mpaka chini tepete hizo nyama (Baby elewa)
Usiikwepweshe oh mama
Mpaka chini tepete hizo nyama (Baby elewa)
[Chorus]
Eti umejipondoa (Mama)
Waoneshe unavyojishogondoa (Oh mama)
Ukisuka ata ukinyoa (Oh mama)
Unapendeza mama mpaka unaboa oh mama
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga, Salim Sadick Mutalemwa

