音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Msamiati
Msamiati
表演者
作曲和作词
Fredy Benny Mbetwa
Fredy Benny Mbetwa
词曲作者
Rashid LunyalileRashid
Rashid LunyalileRashid
词曲作者

歌词

Intro
Switch.....
Ughwe umenyeeee
Malafyalee, Malafyaleeee
Oooh My
Ammy...
Verse 1
Mweee mughonile bhandu bha kyala, uswee kukaja bhatwambililee
Tulile - ndagha mpijile
Kukajaaa - Kyala abhatule
Mweeeeee
Tukubhomba kanunu
Tunafanya Tununu
Amatingo - Fununu
Upendo, UDUMU
Tuli pa- m- pene
Akabhalilo kafwene
Nguvu ni wewe
Ziko ndani yako mwenyewe
Yeeeeaaah
Binadamu watu - Yeeeah
Watu wa watu - Yeeeaah
Kusikiliza ndio kuongea
Ukiuliza utopotea
Kabla ya kuomba unapokea
Wa kukaja we do care
Tutakuaga ukitembea
Mweee ubhaponyeee
Nkamu gwangu ubhaponyee
Mbosa ubhaponyee
Na mamaaa umponyeee Geeeeee
Chorus
Malafyale
Malafyaleeee
Malafyale
Malafyaleee
Malafyale
 - Malafyaleeee
 -Malafyaleeeee
  Eeeeeh Aaaaseeee
Si abhandu bha kyala - ( Malafyaleee )
Abhandu bha - Kyala
Abhandu bha kyala ( Abhandu bha kyala )
Abhandu bha - Kyala
Si abhandu bha kyala - ( Malafyalee )
Abhandu bha - Kyala
Watoto wa Mungu ( OOOH MY )
Watoto wa....... MUNGU
Verse 2
IKITOKEA WAMETUPANGA NAKUA WA KWANZA ( Nakua wa Kwanza )
MIMI NI MFALME WA MTAANI KWANGU KWAIYO NATAMBA
KUNYA NIKUONYESHE
NITAVYOKUCHAMBA ( Uuuh )
MUIGE TEMBO UKAPASUKE MSAMBA (chana msamba)
KUHUSU WAJUMBE WAAMBIE KWAMBA TUMEJIPANGA
COZ MY HEAD ABOUT THE BANDS, (Bands)
NA NITAZIKAMATA INSHAALLAH
THESE RAPPERS WANANIWAZA WANAJIJAZA WENZAO WAAALAH
NJIA WANAZOPITA MWENZAO SPITI
MI NATAMBA ZA KWAO HAZIKIKI
REDIONI PIA HAWASKIKI
YAANI KIMSINGI KILA KITU TUNACHOKIFANYA NI MTITI
MGUUNI PRADA, ( Pradaa )
NIKICHANA NAWAVUTIA WADADA ( Wadadaa)
WAKIJA GHETO NAWAMAADA, MADA MADA MADA MADA
FIX UR LIFE ACHA USHEEENZI
TOO COLD I MEAN CHAINS
YOUR TOO MUCH I MEAN CHANGE
AMG I’M IN BENZ ( Puuuffff )
NA MDOMO SO NINABONGA
WAKANYE KAMA WANA DONDA
PUNCH ZETU SHABANI KAONEKA NA MANENO KARIM MANDONGA
KILA PAMBANO NAWABONDA
KUSANYA MCHELE KAA KONDA
NYIE CHEZENi MIE NOREMA NDARANDO NARONDA KAZI ILONGE skrrrrr
Chorus
Malafyale
Malafyaleeee
Malafyale
Malafyaleee
Malafyale
 - Malafyaleeee
 -Malafyaleeee
  Eeeeeh Aaaaseeee
 Si abhandu bha kyala - ( Malafyaleee )
Abhandu bha - Kyala
Abhandu bha kyala ( Abhandu bha kyala )
Abhandu bha - Kyala
Si abhandu bha kyala - ( Malafyalee )
Abhandu bha - Kyala
Watoto wa Mungu
Watoto wa....... MUNGU
Malafyalee
Malafyaleeee
Written by: Fredy Benny Mbetwa, Rashid LunyalileRashid
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...