歌词
[Verse 1]
Hello Dear X, nimepata tetesi
Za kwamba unanisema ili nionekane si mwema
Pengine unastress maana umekonda mwepesi
Kwangu ukimya sio ukilema ila nachunga vya kusema
[Verse 2]
Maana niliubeba msalaba ikawa mi ndo mama mi ndo baba
Nikachanga tujaze kibaba Mbona hausemi
Kiume nilishukuru nikapangusa matako nikakuacha uende
Ukawe huru, Range na duka ni vyako mi nibaki na makende
[PreChorus]
Kama ulizani nitafeli unangoja basi uko feli
Siku nikilewa nitasema ukweli nchi ilivyogubikwa na matapeli
Sina hasira wala kinyongo ila sipendi uongo
Vijembe jembe na madongo ukitaka kutrend
[Chorus]
Round hii hainaga (Hainaga kutia huruma)
Hainaga kutia
Hivi ndio niseme nimejipata (Hainaga kutia huruma)
Hainga kutia
Maana mbona nazidi kutakata (Hainaga kutia huruma)
Hainaga kutia
Hainaga (Hainaga kutia huruma)
Hainga kutia
[Verse 3]
Ehh Peke yangu nisingeweza
Nisingeweza kuna kitu Mungu kaniongeza, kaniongeza
[Verse 4]
Ona nazidi kupendaza nina pendaza
Na nipo bize na fedha
Toka pakuache kacheka tukuone ume move on
Mara unatuonesha vya nguoni
U haligani uko moyoni sema, sema
Unacheka tukuone ume move on
Mara unatuonesha vya nguoni
U haligani uko moyoni sema, sema
[PreChorus]
Na kama ulidhani nitafeli unangoja basi uko feli
Siku nikilewa nitasema ukweli nchi ilivyogubikwa na matapeli
Sina hasira wala kinyongo ila sipendi uongo
Vijembe jembe na madongo ukitaka kutrend
[Chorus]
Round hii hainaga (Haina kutia huruma)
Hainaga kutia
Hivi ndio niseme nimejipata (Hainaga kutia huruma)
Hainga kutia
Maana mbona nazidi kutakata (Haina kutia huruma)
Hainaga kutia
Hainaga (Hainaga kutia huruma)
Hainga kutia
Written by: Fred Chali, Rajabu Ibrahim, Rajabu Ibrahim Abdukahali