音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
表演者
作曲和作词
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
词曲作者

歌词

Aaah, iyeiyee-iyeiyee
Nimehesabu ni mwanzo
Wa safari yangu
Naona bado naendelea
Siwezi hesabu vikwazo
Vya safari yangu
Atakama mwendo nachechemea
Aliyeianzisha safari yangu mimi, iii
Ndiye atakaye imaliza
Atakama ni madhaifu na mapungufu
Wayaonayo Wanadamu
Ndiye atayarekebisha
Ninayo imani kwake YESU
Alikonitoa ni mbali
Siwezi kuelezea, ooh
Atakama mafanikio ni bado (iyee, iyee)
Nazo shida kidogo (iyee, iyee)
Nitasubiri (iyee iyee)
Kwasababu, ninaziona
Naziona, aah (ooh ninaziona Baraka)
Naziona Baraka zangu (eeh, baraka zisizo na kikomo)
Naziona, aah (ninaziona, ninaziona Baraka)
Naziona Baraka zangu (naona kufanywa upya)
Naziona, aah (maishani mwangu, ninaziona Baraka)
Naziona Baraka zangu (eh, ninaziona)
Naziona, aaah (Ninaziona)
Naziona Baraka zangu (eiyee iyeee)
Leo yangu ni siraha
Ya kuifikia kesho
Nitulie tu uweponi mwako
Nimeijenga imani
Ndani ya moyo
Siogopi wasemayo (ninaimani na YESU wangu)
Mimi baraka za Rohoni (naziona)
Nabaraka za mwilini (naziona)
Ninaziona (naziona naziona)
Ninaziona (naziona)
Zisizo na kikomo (naziona)
Zilizojawa na upako (naziona)
Ninaziona Baraka (naziona)
Atakama mafanikio ni bado (iyee iyee)
Nazo shida kidogo (iyee iyee)
Nitasubiri (iyee, iyee)
Kwasababu, ninaziona
Naziona, aaah (naziona, ninaziona)
Naziona Baraka zangu (ninaziona)
Naziona, aah (Baraka za Rohoni, ninaziona)
Naziona Baraka zangu (mafanikio yangu nayaona)
Naziona, aah (ninaziona, ooh ninaziona)
Naziona Baraka zangu (ooh, Baraka za Rohoni)
Naziona, aah (Baraka za mwilini, ninaziona)
Naziona Baraka zangu (ninaziona)
Baraka zisizo na kikomo, ninaziona eeh, yeiee
Ooh, Ninaziona, eeh
Naziona aah (ooh, Ninaziona, eeh)
Naziona Baraka zangu (ooh, ninaziona)
Naziona aah (Ninaziona, ninaziona mimi)
Naziona Baraka zangu (BWANA anaenda kutengeneza hozi yangu)
Naziona aah (naziona, oh ninaziona)
Naziona Baraka zangu (Baraka ninaziona, ninaziona)
Naziona, aah (ninaziona, ninaziona)
Naziona Baraka zangu (ninaziona, eeh)
Aaah (iyeiyee)
Aaah (iyeiyee)
Aaah (Baraka zangu)
Iyeiyee
Aaah (iyeiyee)
Aaah (iyeiyee)
Naziona (Baraka zangu)
Written by: Mathias Walichupa
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...