制作
出演艺人
Wangechi
表演者
作曲和作词
Wangechi Waweru
词曲作者
制作和工程
Wangechi Waweru
制作人
KaxiOnTheBeat
工程师
BerkiiProdX
制作人
歌词
Wanadhani ni maringo kumbe ni lifestyle
Msichana mrembo na vibe nice nice
Kwa shingo chain baridi swing ice ice
Mukinicheki minangaa aish aish
Juu me hujibeba na maringo maringo
Msichana mrembo na vibe nice nice
Kwa shingo chain baridi swing ice ice
Mukinicheki minangaa aish aish
Juu me hujibeba na maringo maringo
Maringo wanasema ni kiburi
Venye image iko clean ka sabuni
Miubaki on my toes ka ngamia
Jetagwo WANGECHI biashara ni biashara
When I come through mutajua
Dalili ya mvua ni mawingu mihupumua
Nafundisha trio miondoko
Nakimbisha dreams utadhani mbwa koko
Dame wa kivulaiiii
Bado nimeiva
Msichana kamili ka Mimi lazima ni diva
Nairobi hadi Mumbai
Bado nitaskika
Amini ni mimi nawacha proof kwenye speaker
Msichana mrembo na vibe nice nice
Kwa shingo chain baridi swing ice ice
Mukinicheki minangaa aish aish
Juu me hujibeba na maringo maringo
Msichana mrembo na vibe nice nice
Kwa shingo chain baridi swing ice ice
Mukinicheki minangaa aish aish
Juu me hujibeba na maringo maringo
Hawa maninja wanakuanga magroupie
Ukiwalenga wanasema ni kiburi
Pia ma peng wanadai huyu dime
What can I say my vibe is divine
Too many nights mumenisoma
Flow munabite si munachoma
Wachana na mine
Too many times mumenibeba
Ufala walai
Mkisema niwachane na mic
Siwezi dance but for sure naeza roga
Mdame msupa mi huspin my Corolla
Sipendi stress
Smoking on my sess
Mind is always set
So cheki how I flex
Msichana mrembo na vibe nice nice
Kwa shingo chain baridi swing ice ice
Mukinicheki minangaa aish aish
Juu me hujibeba na maringo maringo
Msichana mrembo na vibe nice nice
Kwa shingo chain baridi swing ice ice
Mukinicheki minangaa aish aish
Juu me hujibeba na maringo maringo
Written by: Wangechi Waweru

