歌词

Baraka zishuke kama chomba
Zikuangukie
Neema yake izidi kukuongoza
Usiji aibike
Dunia ikiku chokoza
Kumbuka yesu anaona
Uki feel unaogopa
Wacha akupiganie
 
Kama siwe baba
Ningekuwa wapi leo
Kama siwe baba
Nisegekuwa hapa leo
Naona ni we baba
Najua ni we baba
 
Majaribu ni kwa muda
Mwishowe uta shinda
Hata unapo lemewa
Kumbuka ulikotoka
Bwana hatakuangusha
Yeye ni mwamba imara
Ukijipata kwenye noma
Ye atakupkoa
 
Wema wake mungu baba
Uzidi kuku fuata
Uendapo urudipo
We utabarikiwa
Wale walio kucheka
Wote wata shuhudia
Utaimba hallelujah
Pale chini ya mwamba
Written by: Aaron Rimbui, Bien Aime Alusa, Jackline Muchemi, Karanja Mbugua
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...