歌词

Ni wewe my love
Nakupenda yaani Hadi mwenzio naogopa
Usije niuaaa
Hizi Raha unazonipa mama unanikosha
Ni kwanza your eyes
Unavyo virembua kama vyadondoka
Kiukweli umeni nice
Kwa wengine staki tena lako lanitosha
Ah ah
Weni Tam tam chocolate 🍫
Unanibamba babe unavyo marinate
Uzuri wako mbele nyuma heavy heavy
Ukija naicha for sure mi nitadedi
Ah Ah
Yaani Tam tam chocolate 🍫 (CHOCOLATE)
Unanibamba babe unavyo marinate (MARINATE)
Uzuri wako mbele nyuma heavy heavy
Ukija naicha for sure mi nitadedi
Weni wangu MIAMOR 💝
Unanibamba mwenzio
Na penzi lako tamtam honey oooh
Dzetemi miamor
..................... ...................................
 Shiiii.......aaaah
Wanauliza uko wapii....
Nawaambia kwa bimkubwa ukintengezea kashata
Na vikaimati
Na wali WA vipipi na visharubati
Oya wewe , hakuna ya Mimi bila wewe
Nielewe.... Mpenzi WA kwanza wangu wewe
Ah ... Nimejituliza mi kama kinda
Ushauri wenu naona ujinga
Ananipenda NAMI nampenda
Toka Jan Hadi mwisho WA calendar 📆
Weni Tam tam chocolate 🍫 (chocolate)
Unanibamba babe unavyo marinate(marinate)
Uzuri wako nyuma mbele heavy heavy
Uki naicha for sure mi nitadedi
Ah ah
Yaani Tam tam chocolate 🍫 (CHOCOLATE)
Unanibamba babe unavyo marinate (MARINATE)
Uzuri wako mbele nyuma heavy heavy
Ukija naicha for sure mi nitadedi
Weni wangu MIAMOR 💝
Unanibamba mwenzio
Na penzi lako tamtam honey oooh
Dzetemi miamor
Weni wangu MIAMOR 💝
Unanibamba mwenzio
Na penzi lako tamtam honey oooh
Dzetemi miamor
.......................
Hheee
Written by: SMASHER KIDDO
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...