制作
出演艺人
Mwasiti
声乐
作曲和作词
Mwasiti
词曲作者
Mwasiti Almas
词曲作者
Mzee Abou
词曲作者
Tudd Thomas
编曲
制作和工程
Mwasiti
制作人
歌词
verse
wengine wanalia sababu ya kupenda lakini wameachwa... wameachwa
wengine wanapigwa bado wang'ang'ana sababu ya mapenzi...
wengine wafumania lakini waendelea sababu ya kupenda
wengine wajiua wao walipendwa lakini wameachwa Leo
hook
labda tunapenda tusipopendeka aaah tusipotakiwa tunavumilia
labda tunapendwa tusipopapenda tusipopataka tunasubiria
serebuka2 unaweza penda tena we
verse
wengine nao waua ili wapendwe maishani mwishowe wateseka
wengine walishaapa watawapenda milele wakarudia yaleyale
wapo walioroga kushinda kwa waganga kupigania penzi Lao lao
wengine zao kuhonga wao walipendwa pesa zao zikaisha wewe
(repeat hook & chorus)
maisha ndivyo yalivyo kupata na kukosa
maisha ndivyo yalivyo kutenda na kutendwa
lakini yote mipango ya mola alichopanga
lala lala eeh
(repeat chorus)...
End
Written by: Mwasiti, Mwasiti Almas, Mzee Abou

