制作
出演艺人
D Voice
表演者
Abduli Hamisi Mtambo
声乐
作曲和作词
Abduli Hamisi Mtambo
词曲作者
制作和工程
T.RONE
制作人
歌词
[Intro]
Awe na wanazuu
Awe na wanazuu
Awe na wanazuu
Zuu-zuu
[Intro]
Awe na wanazuu
Awe na wanazuu
Awe na wanazuu
Zuu-zuu
[Verse 1]
Eti mimi huyo
Nianze kuangaika na mapenzi sahii
Labda niwe nimerogwa
Mi nna kichaa
[Verse 2]
Eti mimi huyoo
Kwanza ata hayo mapenzi mwenyewe siwazi
Bora ata ninywe soda
Mi njipe raha
[Refrain]
Oh my God
Mi nimeamua ntafute hela
Hela, hela, hela
Mapenzi siwezi yamenishinda
[Refrain]
Ooh mapenzi
Yashanipeleka mpela
Mpela, mpela, mpela
Siwezirudia huo ujinga
[PreChorus]
Bora nibaki single
Nisake bingo
Nikeshe studio
Unajua nini nitafte nyimbo
[PreChorus]
Bora nibaki single
Nisake bingo
Nikeshe studio
Unajua nini nitafte nyimbo
[Chorus]
Aah kwa mambo ya mapenzi na mimi (No-no-no)
Sitaki shobo mwenzenu (No-no-no)
Mambo ya malavidavi na mimi mwenzenu (No-no-no)
Oh no-no-no-no-no-no (No-no-no)
[Verse 3]
Eh, nyie seriously
Nilishatesagwa na mapenzi nkataka jiua
Kitanzi
Kumbe ulikuwa ni ujinga na utoto sijakuwa
[Verse 4]
Moyo yote ganzi
Maumivu yalinzidi nkashindwa ai ata kupumua
Sasa ivi siyawezi
Nimemwachia manani tu
Kikubwa dua
[Refrain]
Ah, sasa ivi niko okay
Party everyday
Mnaoteseka hey
Poleni, poleni
[Refrain]
Oh my God
Mi nimeamua ntafute hela
Hela, hela, hela
Mapenzi siwezi yamenishinda
[Refrain]
Ooh mapenzi
Yashanipeleka mpela
Mpela, mpela, mpela
Siwezirudia huo ujinga
[PreChorus]
Bora nibaki single
Nisake bingo
Nikeshe studio
Unajua nini nitafte nyimbo
[PreChorus]
Bora nibaki single
Nisake bingo
Nikeshe studio
Unajua nini nitafte nyimbo
[Chorus]
Aah kwa mambo ya mapenzi na mimi (No-no-no)
Sitaki shobo mwenzenu (No-no-no)
Mambo ya malavidavi na mimi mwenzenu (No-no-no)
Oh no-no-no-no-no-no (No-no-no)
Written by: Abduli Hamisi Mtambo