歌词

Ladhia wangu wewe number one Nakupenda sana si utani
Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Ladhia wangu wewe number one
Nakupenda sana si utani Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Leo ikishakuwa hivi nakesho ijayo vipi?
Sijui nikufanyie nini uniamini utwae nami
Toa shaka unaleta furaha ambayo mi napenda mama
Ladhia malkia moyo wangu umekuangukia
Siku hizi anaekwambia, anaekuhakishia, anae kuthibitishia
Siwezi kubadili wazo nafasi yako ipo na bado,na bado
Pozi, dharau tuweke kando
Barafu halijengi jumba, ukweli nakupa
Chum chum
Mpaka pale kwenye kunoga
Na mboga bila kitunguu haijanoga
Ladhia wangu wewe number one Nakupenda sana si utani
Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Ladhia wangu wewe number one
Nakupenda sana si utani Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Nakujali kwa dhati, sio kwa nyakati
Mida mida mibaya jana usiku shangaa
Nafanya sharp sharp sioni freshi kuzubaa
Mademu wangu wengi kila kona wamejaa
Lakini naona sio mental mimi kuwa far
Ndo maana nimeona freshi nikupe dukuduku
Maneno hayana chuki, jealous wala sijishuku
Kuniomba omba vihela, lakini we marufuku
Kupenda sijui kutangaza hadharani ili nimpe faida nani?
Hii ina maana gani? Kusema unanipenda ndivyo ilivyo au una nichenga?
Ntajinyonga kwa uzi, Big G, hata kwa udenda
Ntapogundua kuwa Chuchu umenitenga
TV ya body *** naona chenga
Mapenzi sio fedha, wala kumla pweza
Na wala haina haja hivi vitu kuvigeza
Ni kipi kinachokufanya wewe unageza?
Mapenzi kubembelezana, kusamehana
Tunasuluhisha, yanaisha
Na mdaa wa kutoa muafaka
Tunafunga pingu ya maisha
Nikipi kinacho tatiza?
Nafsi yako kwangu imefika na imezaa
Unachotaka hata mie ntatimiza
Nakaa worker juamchana kisiingie giza
Ladhia wangu wewe number one Nakupenda sana si utani
Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Ladhia wangu wewe number one
Nakupenda sana si utani Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Ladhia wangu wewe number one
Usiskie nge'ndembwe za jirani
Ladhia wangu wewe' number one
Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Ladhia wangu wewe number one Nakupenda sana si utani
Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Ladhia wangu wewe number one
Nakupenda sana si utani Usiskie nge'ndembwe za jirani
Maana wao wana chuki asilani
Written by: Juma Ally Kassim, Moses Ochwangi, Paul Peter Matthijsse (P-Funk Majani)
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...