積分

演出藝人
Lava Lava
Lava Lava
主唱
詞曲
Lava Lava
Lava Lava
詞曲創作
製作與工程團隊
Lizer Classic
Lizer Classic
製作人

歌詞

[Intro]
Aah-Aah Aah-Aah
Iyo lizer
Aah-Aah Aah-Aah
[Verse 1]
Eeh! Baby ama kweli umefundwa unyago (Unyagoo)
Mungu amekupea your too fine ooh (Iyee)
Una vichuchu toboa beli
Uko nyuma Eminado (Nado)
Nyonga inabembea (Iyee)
Eh, your love baby gone take me higher (Ayayaa)
Nakua katoto yayo (Ayayaa)
I swear your my desire (Yaaaya ooh)
[PreChorus]
Sa nipe za migando, nyani ngedere
Viuno mgando, ndani segere
Nkuvute kando, nikuchumishe tembere
Nionyeshe mambo, watikisaje wezere
[Verse 2]
Sai ipekeche ipekeche
Ipekeche ipekeche
Ipekeche ipekeche
Baby show me
I wanna see u dance
Ipekeche (Ipeke)
Ipekeche (Ipeke)
Ipekeche (Ipeke)
Ipekeche (Ipeke)
Ipekeche (Ipeke)
Ipekeche (Ipeke)
Eeh-eeh
[Verse 3]
Baby show baby show
Show dem vile ulivyo machachari
Baby show baby show
Show dem unasongaje ugali
Baby show baby show
Show dem mambo yaki Zanzibari
Baby show baby show
Show dem kama wewe ni pisi kali
[Verse 4]
Mwembamba au munene
Tuonyeshe mandingo (Swadakktaa)
Changanya masebene
Chakacha bolingo (Swadakktaa)
Kwa chini itekenye
Wowowo ngongingo (Swadakktaa)
Wowowo (Swadakktaa)
Ngongingo (Swadakktaa)
[PreChorus]
Sa nipe za migando,nyani ngedere
Viuno mgando, ndani segere
Nkuvute kando,nikuchumishe tembere
Nionyeshe mambo, watikisaje wezere
[Chorus]
Sai ipekeche ipekeche
Ipekeche ipekeche
Ipekeche ipekeche
Baby show me
I wanna see u dance
Ipekeche (Ipeke)
Ipekeche (Ipeke)
Ipekeche (Ipeke)
Ipekeche (Ipeke)
Ipekeche (Ipeke)
Ipekeche (Ipeke)
Eeh eeh
Wa-sa-fi
[Outro]
Baby show baby show
Show dem mambo yaki Zanzibari
Baby show baby show
Show dem kama wewe ni pisi kali
Written by: Lava Lava
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...