積分

演出藝人
Navy Kenzo
Navy Kenzo
演出者
詞曲
Aika marealle
Aika marealle
詞曲創作
Emmanuel Mkono
Emmanuel Mkono
詞曲創作
Francis Jacob Matuja
Francis Jacob Matuja
詞曲創作
製作與工程團隊
Nahreel
Nahreel
製作人

歌詞

Tulikutana Dar sweet corner, nikamuomba aongee na mi, nikamuuliza wapi ntakuona, hakusita akanena, Woua Manzese
Kwao Kijiweni wala ndete, chochoro na kona kama zote, kama kweli nampenda basi twendee
Nakuhitajii wee, tuishi sote siku mimi na wewe
My love kazaliwa
Manzese
Mungu kanijalia
Manzese
Tuzo kanitunukia
Manzese
Zawadi kaniletea
Manzese
My lo, lo, lo
Lo, lo love
Mungu kanijalia
Manzese
Tuzo kanitunukia
Manzese
Zawadi kaniletea
Manzese
Noo, nobody no like it
She don't mind it, yeah-yeah, she pretty be feeling like go running-running baby I'm coming home
We always been the baddest couple ever, see anybody knows navy knows Kenzo never, know how far we came hard but together
Some days we get lit and play hide and seek
Tumboni ni njaa ila kitanda raha na joto, twamshukuru Mola uhai familia na ndoto
My love kazaliwa
Manzese
Mungu kanijalia
Manzese
Tuzo kanitunukia
Manzese
Zawadi kaniletea
Manzese
My lo, lo, lo
Lo, lo love
Mungu kanijalia
Manzese
Tuzo kanitunukia
Manzese
Zawadi kaniletea
Manzese
My love kazaliwa
Mungu kanijalia
Tuzo kanitunukia
Zawadi kaniletea
My lo, lo, lo
Mungu kanijalia
Tuzo kanitunukia
Zawadi kaniletea
Written by: Aika marealle, Emmanuel Mkono, Francis Jacob Matuja
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...