積分
演出藝人
Deborah Lukalu
演出者
歌詞
Hakuna, hakuna, hakuna Mungu kama wewe Baba

Hakuna mwingine kama wewe Baba
Hakuna, hakuna, hakuna Mungu kama wewe Baba
Hakuna mwingine kimbilio langu
Hakuna, hakuna, hakuna Mungu kama wewe Baba
Hakuna mwingine Baba wa wajane
Hakuna, hakuna, hakuna Mungu kama wewe Baba
Mungu ni chefu (Chefu), wa mataifa yote (Wa mataifa yote)
Mungu ni chefu (Chefu), wa mataifa (Wa mataifa yote)

Mungu ni chefu (Chefu), (Wa mataifa yote)
Mungu ni chefu (Chefu), wa mataifa yote (Wa mataifa yote)
Mungu ni chefu (Chefu), wa mataifa yote (Wa mataifa yote)
Alitenda mambo makubwa wanadamu hawakumuelewa tenda (Tenda, tenda, tenda)
Tenda eh Baba tenda, (Eh yo-yo-yo-yo), tenda eh Baba tenda
(Baba wa majabu) Tenda eh Baba tenda, (Eh yo-yo-yo-yo) tenda eh Baba tenda
(Mungu wa uzima) Tenda eh Baba tenda, (Mungu wa salama), tenda eh Baba tenda
(Baba wa wajane) Tenda eh Baba tenda, (Eh yo-yo-yo), tenda eh Baba tenda
Alitenda mambo makuu shetani ashikuelewa tenda (Tenda, tenda, tenda)
Ni wa uwezo, ni wa ushindi
Ni muweza yote kweli haleluya ni muumba we aah
Kuimba tunaimba (Ni mpaka kwa neema)
Watoto tunazala (Ni mpaka kwa neema)
Ndoa tunapata (Ni mpaka kwa neema)
Masomo tunaweza (Ni mpaka kwa neema)
Diploma uko nayo (Ni mpaka kwa neema)
Watoto unazala (Ni mpaka kwa neema)
Kuimba unaimba (Ni mpaka kwa neema)
Huyu Mungu wetu
Anasemaga, anajibuaga, ni muweza yote haleluya ni muumba wetu
Anasemaga, anajibuaga, ni muweza yote kweli haleluya ni muumba wetu
Anasemaga, anajibuaga, ni muweza yote haleluya ni muumba wetu
Anasemaga, anajibuaga, ni muweza yote haleluya ni muumba wetu
Wa milele, wa milele Mungu wa baraka ni Yesu eh

Wa miujiza, wa miujiza Mungu wa miujiza ni Yesu eh
Wa milele, wa milele Mungu wa baraka ni Yesu eh
Wa mapendo, wa mapendo Mungu wa mapendo ni Yesu eh
Wa milele, wa milele Mungu wa baraka ni Yesu eh
Ah, ah, ah, ni Yesu eh
Ah yo, yo, yo, ni Yesu eh
Ah, ah, ah, ni Yesu eh
Ah yo, yo, yo, ni Yesu eh
Ah, ah, ah, ni Yesu eh
Ah yo, yo, yo, ni Yesu eh
Ah, ah, ah, ni Yesu eh
Ah, ah, ah, ni Yesu eh
Ah yo, yo, yo, ni Yesu eh
Ah, ah, ah, ni Yesu eh
Ah yo, yo, yo, ni Yesu eh
Ah, ah, ah, ni Yesu eh
Ah yo, yo, yo, ni Yesu eh
Written by: Deborah Lukalu