積分
演出藝人
Killy Tz
演出者
HARMONIZE
演出者
詞曲
Killy
詞曲創作
製作與工程團隊
Hunter
製作人
歌詞
[Verse 1]
Kama mapenzi ni uchawi umeniendea ngende
Maana nahisi nimezaliwa nije nikupende
Aah! Jangwani pakavu umeota mtendee
Eeh! Waubani waubavu sema wapi twendee
[Verse 2]
Jua mapenzi ni siri iih yani toka enzi zile za mababu
Usije ukaghairi babee mazoea yakanipa tabuu uuh
Aah chuchuchu basi nipe hata kiduchu
Sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchu
[Verse 3]
Eeh chuchuchu basi nipe hata kiduchu
Sifa ya mume awe na uchu usiruhusu nikapiga puchuuh uuh uh
Ooh baby you make me sing this song
[Chorus]
Ni wewe ni we (Ni weeh)
Ni wewe (I don't wanna do you wrong)
Ni wewe (Ooh baby ni wee)
Njagala kuvaa nawee
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we (Eeh njagala kuvaa nawee ma baby)
[Verse 4]
Mapenzi asili yake upofu na unapopenda hupaoni
Usishangae mtu kuacha minofu na akala vya vichochoroni
Aah Halima kwa ajili yako ninajinyima
Penzi nishakatia na bima
Moyo wangu kata we ndo kisima, mmh baby baby
[Verse 5]
Nakuitaga mtaka cha uvungu kwa maana huoni hata tabu kuinama
Na unapolishika hilo rungu mwenzako vinywele vinanisimama
Aah tututu usizinyoe nikusuke mabutu
Mkunaji kapewa ukurutu
Yani kama chuma kinaliwa na kutu
[Verse 6]
Aah tututu usizinyoe nikusuke mabutu
Mkunaji kapewa ukurutu
Yani kama chuma kinaliwa na kutu
I swear baby you make me sing this song
[Chorus]
Ni wewe ni we
Ni wewe (I don't wanna do you wrong)
Ni wewe (Ooh baby ni wee)
Njagala kuvaa nawee
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we
Ni wewe ni we (Eeh njagala kuvaa nawee ma baby)
[Outro]
Aah chuchuchu basi nipe hata kiduchu
Sifa ya mume awe na uchu, mmh
Written by: Ally Killy Omary, Killy

