積分
演出藝人
Terence creative
演出者
MC NJAGI
演出者
Tom Dakitari
演出者
詞曲
Terence creative
詞曲創作
MC NJAGI
詞曲創作
Patrick Gitonga
作曲
Tom Dakitari
詞曲創作
歌詞
Mwalimu wa hesabu
Mwalimu wa hesabu ulisema siendi mbaali
Sasa utasemaje ona naenjoy
Viboko ulinipiga ukisema siendi mbali
Magoti kanipigisha ukisema siendi mbali
Homuwaka ukajaa ukisema siendi mbali
Mapenzi ya shule ulisema iendi mbali
Kichwa ngumu shuleni ulisema iendi mbali
Mwalimu wa hesabu ulisema siendi mbaali
Sasa utasemaje ona naenjoy
Asubuhi nilirauka
Mitiani nikapita
Kumbe mbele kitaniramba
Ndigiri niko nazo lakini kazi ndio ndiambo.
Ni kweli walisema masomo sio pesa.
Mwalimu wa hesabu ulisema siendi mbaali
Sasa utasemaje ona naenjoy
Waliosoma hawana kazi
Na wenye kazi hawajasoma
Masomo bila connection ,hio ni kazi bure.
Mapenzi bila pesa,hiyo ni kazi bure
Mwalimu wa hesabu ulisema siendi mbaali
Sasa utasemaje ona naenjoy
Climax
Wapi kule …..mwalimu wa maath
Hapa ni waaapi ? Tunaenjoyyyy
Kazi sio masomo,kazi nikubadilisha masomo iwe kazi
Watoto class 2 China wanatengeneza gari na hapa je? Ama ninyamaze
Exit .
Written by: MC NJAGI, Patrick Gitonga, Terence creative, Tom Dakitari