歌詞
Mwanamke apewe hela nyingi (Eeeeeh!)
Mwanamke apewe matunzo (Hudumiaaaah!)
Mwanamke hapigwi ngumi jiwe (Eeeehhh!)
Mwanamke anadekezwa
Bebe zinapenda wanaume kama sisi
Sisi tunapenda wanawake wazuri
Bebe zinapenda wanaume wanukie
Na sisi round hii tunanukia hela
I do like woman (Go bad gooooo)
I do like woman (Bry bang bang)
I do like woman (Go bad gooooo)
I do like woman
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai chai
Washa kijiti (Kijitiii)
Watoto wanapenda kijiti (Kijiitiii)
Wawashie kijiti (Kijiitiiii)
Watoto wanapenda kijitiiiih (Kijiiitiii)
Tuko busy kutafuta hela
Juu chini, mchana usiku
Yote kwa sababu ya mapenzi
Watoto siku hizi hawapendi sura
Hawapendi majigambo
Wao wanapagawa na show, show kali
Tuko busy kutafuta hela
Juu chini, mchana usiku
Yote kwa sababu ya mapenzi
Watoto siku hizi hawapendi sura
Hawapendi majigambo
Wao wanapagawa na show
Sunna wanne, mmoja hanitoshi
Me nataka wanne
Sunna wanne, mmoja hanitoshi
Me nataka wanne
I do like woman (Go bad gooooo)
I do like woman (Bry bang bang)
I do like woman (Go bad gooooo)
I do like woman
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai chai
Washa kijiti (Kijitiii)
Watoto wanapenda kijiti (Kijiitiii)
Wawashie kijiti (Kijiitiiii)
Watoto wanapenda kijitiiiih (Kijiiitiii)
Written by: Abdul Sykes