積分

演出藝人
Lynder Matiko Marwa
Lynder Matiko Marwa
和聲
MATIKO LYNDER
MATIKO LYNDER
演出者
詞曲
MATIKO LYNDER
MATIKO LYNDER
詞曲創作
製作與工程團隊
Lynder Matiko Marwa
Lynder Matiko Marwa
工程師
E.K.O
E.K.O
製作人

歌詞

Nimetoka mbaliii eih
Na tena mbali naelekea
Yesu ulinifia
Dhambi kunisafishia
Marafiki walipoishia
Bwana hukuniachilia
Umefanyika dawa kwangu wewe
Sikutegemea
Umefanyika ziwa kwangu wewe
Sikutegemea
Nishikilie bwanaa
Ili nisianguke
Niwe karibu nawewe
Adui akija aangukee
Ukinishika sitoanguka
Ooh sitoanguka
Nikiwa nawe sitoanguka
Ooh sitoanguka
Nishikilieeee bwanaaa
Usiniachilieee bwanaa
Nishikilieeee bwanaaa
Usiniachilieee bwanaa
Ulipotengeneza njiaa
Kwa Wana Israeli
Namii tengeneza njiaa
Katika maisha yangu
Wakutafutao bwanaa
Kwa jina lako
Usiwachilie,fanya njia Kwa maisha Yao
Wakutafutao bwanaa Kwa maombi iih,usiwachilie yesuuu
You never fail,you never leave,Oh oh Lord
Make a way, make a way in my life,Ooh touch me lord, touch me lord
Ukinishika sitoanguka
Ooh sitoanguka
Nikiwa nawe sitoanguka
Ooh sitoanguka
Nishikilieeee bwanaaa
Usiniachilieee bwanaa
Nishikilieeee bwanaaa
Usiniachilieee bwanaa
Ukinishika nitainuka Tena
Ooh
Ukinishika nitainuka Tena
Written by: MATIKO LYNDER
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...