歌詞
Yeah H.Q T
Mi Namuamini yeye Mi Namuamini Yeye
Mi Namuamini yeye, Mi namuamini yeye
Aliona mbali kunificha kwenye pendo lake
Aliona mbali kunishika kwa mkono wake
Mi Namuamini yeye Mi Namuamini Yeye
Mi Namuamini yeye, Mi namuamini yeye
We ni mwamba hadi mwisho wa dunia
We ndo Baba toka mwanzo ulinijua
Nilitembea peke yangu na hapakuwa na njia
Ukanishika mkono unanionyesha njia
Basi jifunzeni kwa ndege wa angani
Hawapendi hawalimi lakini wanalishwa na,
Mungu wa mbinguni.
Au maua ya kondeni hayafanyi kazi lakini
Yanavikwa vizuri
Mfalme Sulemani alikuwa tajiri lakini
Hakuvikwa kama maua ya kondeni
Itakuwa kwako aliyekuleta duniani
Aaah A. Skills in a house.
Mi Namuamini, yeye Mi Namuamini, Yeye
Mi Namuamini, yeye, Mi namuamini, yeye
Aliona mbali kunificha kuficha kwenye pendo lake
Aliona mbali kunishika kwa mkono wake
Mi Namuamini,yeye Mi Namuamini, Yeye
Mi Namuamini, yeye, Mi namuamini, yeye
Receive.
Sema nami nijue, mbali umenitoa
Mwisho wakulia nileo, mwisho wa masimango ni leo
Atakupatia kicheko, nakutabiria maisha mapya na ushindi
Unainuliwa unabarikiwa, gari mpya unajua
Wanao kudharau wananyenyekea ehee
Tunapendelewa ehe
Tunashangilia ehe
Ehe ehe ehee
Mi Namuamini, yeye Mi Namuamini, Yeye
Mi Namuamini, yeye, Mi namuamini, yeye
Aliona mbali kunificha kuficha kwenye pendo lake
Aliona mbali kunishika kwa mkono wake
Mi Namuamini,yeye Mi Namuamini, Yeye
Mi Namuamini, yeye, Mi namuamini, yeye
Written by: A. Skillz, Abisay Hizza


