積分

演出藝人
Ampire Joven's
Ampire Joven's
演出者
moise Ngoy
moise Ngoy
斑鳩琴
詞曲
Ampire Joven's
Ampire Joven's
作曲
製作與工程團隊
moise Ngoy
moise Ngoy
製作人
Guy Safari
Guy Safari
製作人

歌詞

Ivi We una enda una ni achiya Nani , una enda una ni achiya Nani? .
Masasi iko na liya una ya sikiya ?
Mtoto niko na liya una ni sikiya ?
Fasi yote ni wasi wasi
Inchi yote ni wasisi
ni tokeleye hata pa ndoto ,
Uya vute machozi yangu
Nami nika cheke tena , nami furai tena
Nami ni furai Tena
Maman Uko wapi !?
Dada Uko wapi ?
Baba Uko wapi ?
Suni tokeleye pa ndoto , nami nika furai Tena
Nami nika cheke Tena
Nami ni furai Tena
Fasi yote ni wasi wasi
 Inchi yote nk wasi wasi
Mtoto Niko na Liya una ni sikiya
Fasi yote yote ni wasi wasi
Inchi yote ni wasi wasi
Mtoto Niko na liya , una ni sikiya ?
Masasi Iko na liya , una ya sikiya ?
Uni tokeleye pa ndoto ,
Uya vute machozi yangu
Nami ni furai tena , nami nika cheke tena
Written by: Ampire Joven's
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...