Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Vocals
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Zuchu
Composer
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Composer
Nasibu Abdul Juma Issaack
Nasibu Abdul Juma Issaack
Songwriter
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

Eeh! Nini sasa Eti amina, dua zimeitikiwa Ashtuti nije kupa mali yako Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa Mahututi nasubiri tiba yako Na nisipo kuona na raha nakosa Situlii mpaka unikumbate darling Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear Shughuri kwisha yangu habari Eti unanipenda mi (Mnmhn) Unanitaka pia (Mnmhn) Unaniamini (Mnmhn) Na umeniridhia Ooh unanipenda mimi (Mnmhn) Unanitaka pia (Mnmhn) Unaniamini (Mnmhn) Na umeniridhia Mnaosubiri tuachane Mtasubiri sana mtasubi (Ooh mtangoja) Mtasubiri sana mtasubi (Wanaosubiri tuachane) Mtasubiri sana mtasubi (Vuteni kiti mkae) Mtasubiri sana mtasubi Ooh baby mi mwenzako njiwa wa kufugwa Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja Ooh baby penzi laini sitoi buja Na moyo nimeshaweka kwako nanga Wanajisumbua kukesha kwa waganga Mbona bado na presha zitawashuka na kupanda Tena deka we shaukwa baby tamba Eti unanipenda mi (Mnmhn) Unanitaka pia (Mnmhn) Unaniamini (Mnmhn) Nakuniridhia (Mnmhn) Ooh unanipenda mimi (Mnmhn) Unanitaka pia (Mnmhn) Unaniamini (Mnmhn) Na umeniridhia Manaosubiri tuachane Mtasubiri sana mtasubi (Ooh mtakesha) Mtasubiri sana mtasubi (Mtandike jamvi mukae) Mtasubiri sana mtasubi (Mtatungoja sana) Mtasubiri sana mtasubi Wanasema eti Umeniroga "Nikweli ila inawahusu nini" Hunipendi Unanichuna "Nikweli ila inawahusu nini" Eti anasema wewe ni kicheche "Nikweli ila inawahusu nini" Utanichezea kesho uniache "Nikweli ila inawahusu nini"
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Siraju Hamisi Mjege, Zuhura Othman Soud Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out