Music Video

Marioo - Tomorrow ( Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Marioo
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Marioo
Songwriter
Salmin Kasimu Maengo
Salmin Kasimu Maengo
Composer
Sweetbert Charles Mwinula
Sweetbert Charles Mwinula
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

Halooo! Zombieeh! Mmh Baddie Eeeh heeh!!! (S2kizzy baby) Shhh!! Nimegundua shida nikumzoea Kinachonipa shida nimazoea Nimegundua shida nimeizoea Yanayonipa shida nimazoeaa Si anajua ndo maana anafanya kusudi Kunikomesha ananikomesha Nishajishusha sana mpaka sina mood Anichoresha ananichoresha Acha niitwe mlevi Acha niitwe popo Ila ukikivaa kiatu changu hautembei Acha niitwe malaya Acha niitwe mdangaji Ila ukikivaa kiatu changu hautembei Tomorrow Tuko apa mpaka tomorrow Tuko apa mpaka tomorrow Tomorrow Tuko apa mpaka tomorrow Tuko apa mpaka tomorrow Tomorrow Tuko apa mpaka tomorrow Tuko apa mpaka tomorrow Mmmh Aiweeh Mara aseme natoka na Wema Sepetu (petu) Anasema natoka na Hamisa Mobetto (beto) Kosa sio kosa ndege ameruka pruuh ameruka pruuh Mi sina kosa ila ananijia juu ananijia juu Naonewa yoyoyo aah Nanyanyaswa acheni mie Acha niitwe mlevi Acha niitwe popo Ila ukikivaa kiatu changu hautembei Acha niitwe malaya Acha niitwe mdangaji Ila ukikivaa kiatu changu hautembei Hadi Tomorrow Tuko apa mpaka tomorrow (Haya mi staki deni) Tuko apa mpaka tomorrow Ahh! Mpaka Tomorrow!! Tuko apa mpaka tomorrow (Shusha ngoma kali) Tuko apa mpaka tomorrow Haloo! Tutalala keshoo!! Tuko apa mpaka tomorrow (Tupo tupo sana tupo sana) Tuko apa mpaka tomorrow (Kamix Laizer)
Writer(s): Marioo, Salmin Kasimu Maengo, Sweetbert Charles Mwinula Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out