Lyrics

Si' (awee!) Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme (Awee!) Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme (pandisha ngoma sisi si' matapeli) Si' (awee!) Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme (Awee!) Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme Kamejichanganya haka ka-Jackie umeme (Jaivah) Huyo mtoto (Huyo mtoto) Masela huyo mtoto, huyo (Huyo mtoto) (Jaivah) Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka Huyo mtoto (Huyo mtoto) Masela huyo mtoto, huyo (Huyo mtoto) aweeh! Si kautaka mwenyewe, huyo Kawaletea wahuni shobo, huyo Si' kwetu hatumli kwa macho, huyo Si kautaka umaarufu, huyo Oya, mwanangu Isiaka peleka moto! Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka Oya, hapo kwenyewe vipi? (Hapo kwenyewe shega) aweeh! (Kautaka mwenyewe wahuni tunamega) Oya, hapo kwenyewe vipi? (Hapo kwenyewe shega) aweeh (Kautaka mwenyewe wahuni tunamega) Eti mtoto kalilia nini? Mtoto (Kalilia wembe) Mtoto kapewa nini? Mtoto (Kapewa wembe) Mtoto kataka nini? Mtoto (Kataka wembe) Mtoto kapewa nini? Mtoto (Kapewa wembe) Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka (aweeh!) Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka (pandisha ngoma sisi si' matapeli) Mtoto kauta-, mtoto kauta- (aweeh!) Mtoto kautaka, mtoto kautaka Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka Mtoto kauta-, mtoto kauta- (aweeh!) Mtoto kautaka, mtoto kautaka Mtoto kauta-, mtoto kauta- Mtoto kautaka, mtoto kautaka Oya, hapo kwenyewe vipi? (Hapo kwenyewe shega) aweeh! (Kautaka mwenyewe wahuni tunamega) Oya, hapo kwenyewe vipi? (Hapo kwenyewe shega) aweeh! (Kautaka mwenyewe wahuni tunamega)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out