Hudební video

Mapenzi Hisia Lyrics - Otile Brown
Přehrát hudební video {trackName} od interpreta {artistName}

Kredity

PERFORMING ARTISTS
Otile Brown
Otile Brown
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Otile Brown
Otile Brown
Composer

Texty

Tunapendeza pamoja ni dhahiri Tuliumbwa tuwe pamoja baby Na sisi huwaga pamoja daily Na kama kando yake hukuniona jua sipo mbali Maana me ni kivuli chake ye, aendako na me nakwenda ee Haijalishi uendepo wapi ee,, nishike mkono twende wote ee Maana me kivuli chake, aendapo na me nakwenda ee Haijalishi uendako wapi baby nishike mkono twende wote sote Iiii aaaahh mapenzi hisia eii Aaaah mmoja anakuridhia eeeh Aaah mapenzi hisia eeh aaaah Mmoja anakuridhia Haijalishi unampenda nani herera herera Basi niambie unampenda nani herera herera Shout jina lake hadharani Iwe anafanya Mjengo Makanga au Sogi Almradi anakuridhia moyoni Awe Mvuvi au Bodaboda Kupata au Kukosa ni majaliwa Awe Seremala au Muuza mboga Kupata au kukosa ni majaliwa Awe Mvuvi au Bodaboda Kupata au Kukosa ni majaliwa Awe Seremala au Muuza mboga Kupata au kukosa ni majaliwa Eei Aghaaghaa! Mapenzi hisia Eei a Aghaaghaa! Hoja anakuridhia Eei Aghaaghaa! Mapenzi hisia Eei a Aghaaghaa! Hoja anakuridhia Me almradi unanipenda baby Almradi unanipenda mama Almradi unanipenda, unanipenda You know, you knowthat I'm crazy over you you,kila nikikuona Roho yangu juju Wanasema eti umenipea juju Ooh Girl am crazy over you You know, you knowthat I'm crazy over you you,kila nikikuona Roho yangu juju Wanasema eti umenipea juju Ooh Girl am crazy over you Eei Aghaaghaa! Mapenzi hisia Eei a Aghaaghaa! Hoja anakuridhia Eei Aghaaghaa! Mapenzi hisia Eei a Aghaaghaa! Hoja anakuridhia
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out