Hudební video

kidum - kichuna (Official Video)
Přehrát hudební video {trackName} od interpreta {artistName}

Kredity

PERFORMING ARTISTS
Kidum Kibido
Kidum Kibido
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kidum Kibido
Kidum Kibido
Songwriter

Texty

Nakuomba mpenzi uniskize Tafadhali baby tuliza moyo Kwa kweli niko wako Hiyo usiwe na shaka Wewe kaa ukitabasamu Mara tu ukiniona Penzi letu halina kasoro Mimi na wee 'tapendana kiroho Nakusihi Tuliza moyo Sherekea, furahia Penzi letu, baby Cheza, imba Mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea, furahia Penzi letu, baby Cheza, imba Mpenzi wangu, kichuna changu Niskize baby kwa makini Kwa kweli mimi nimekutamani Kilichoko mpenzi Wewe nipe nafasi Nikupe penzi hujawahi pewa Nikuguse mahali hujawahi guswa Kwa maana Penzi langu halina doa Kwa hivyo sasa tufunge ndoa Tuishi pamoja Milele Sherekea, furahia Penzi letu, baby Cheza, imba Mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea, furahia Penzi letu, baby Cheza, imba Mpenzi wangu, kichuna changu Oh mpenzi wangu Skiza wito wangu siwezi Kuhisi bila wewe Oh kichuna changu Songa karibu nami Nikushike, nikubusu Nikushike shike shike shike Penzi letu halina kasoro Kwa hivyo sasa tufunge ndoa Tuishi pamoja Milele baby Sherekea, furahia Penzi letu, baby Cheza, imba Mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea, furahia Penzi letu, baby Cheza, imba Mpenzi wangu, kichuna changu
Writer(s): Jean-pierre Nimbona Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out