Texty

Kwa nini ukiniona Unakosa furaha Si acha kuna kuna Kwa nini ujipe karaha mama Mi najua unachotaka wee Unachowazaga Ata mimi napitiaga Ila tunajikaza eeh Na siwezi kumaliza verse Bila kusifia your pretty face Machoni mwako naona loneliness Loneliness Na siwezi kumaliza verse Bila kusifia your pretty face Machoni mwako kuna loneliness Loneliness Najua kuna vingi we husemi Kwangu mimi sio mbaya Ah tell me, kwangu mimi sio mbaya Ah tell me, kwangu mimi sio mbaya nieleze Endapo utanimiss just call me Kwangu mimi sio mbaya Nipigie, kwangu mimi sio mbaya Mama nipigie, kwako mimi sio mbaya nieleze Nieleze, nieleze Oooh no no no no Kuna mazuri mengi umefanya Sikutangaza ubaya aaah Kuna mazuri mengi nimefanya Sitokusemea ubaya aah Please let me know oh oh oh Nijue walisoma igizo, maigizo Let me know oh oh oh Labda we mimi sina tatizo, tatizo Siwezi kumaliza verse Bila kusifia your pretty face Machoni mwako naona loneliness Loneliness Siwezi kumaliza verse Bila kusifia your pretty face Naona loneliness Loneliness Najua kuna mengi we husemi Kwangu mimi sio mbaya Ah sio mbaya, kwangu mimi sio mbaya Kwangu mimi sio mbaya naomba nieleze Ukininimiss just call me Kwangu mimi sio mbaya Mama mama ma, kwangu mimi sio mbaya Nasema, kwangu mimi sio mbaya nieleze Moyo wako unataka taka Mdomo wako nakataza taza Naamua kunyamaza maza Bora useme unachowaza waza Unajua mama Kwangu mimi sio mbaya Kwangu mimi sio mbaya Kwangu mimi sio mbaya nieleze Ukininimiss just call me Kwangu mimi sio mbaya Kwangu mimi sio mbaya Kwangu mimi sio mbaya nieleze
Writer(s): Juma Mkambala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out