Nejlepší skladby od interpreta Goodluck Gozbert
Podobné skladby
Kredity
PERFORMING ARTISTS
Goodluck Gozbert
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Songwriter
Texty
Nimesamehe
Nimesamehe
Nimesamehe
Baki na Amani
Nimesamehe
Nimesamehe
Nimesamehe
Ili nisamehewe
Sisoneke moyoni
Usijiumize na Dunia hayafurahishi
Ni wengi walioniumiza
Kuuguza moyo wangu Ilinigharimu sana Wazazi au
Ndugu Rafiki, mpenzi, wanaweza kuumiza moyo wako
Nilitunza mengi moyoni visasi
Ila nasamehe baki na furahaa
Wakati Mzazi anaangaika kunitafutia chakulaa
Hawakutaka kunisaidia
Leo hii nimefanikiwa wanitaka
Wamesahau aliwatafuta wakamtimua nenda
Wajua ninamaumivu ya moyo
Mengi katu siwezi sababu
Ila Ninasamehe
Ninasamehe
Wala sio kwa ajili ya mtu
Wala sio kwa ajili ya Dunia
Ila kwa moyo wangu na amani ya kesho
Nimesamehe
Nimesamehe
Nimesamehe
Baki na Amani
Nimesamehe
Nimesamehe
Nimesamehe
Ili nisamehewe
Marafiki wengi huja ukiwa nazo zikiondoka Hautowaona tena
Niliharibu kwa ndugu zangu
Kusimama na huyu mwenzangu
Badaee akanisalitii
Nikaukana utu wangu
Kuonesha Upendo wangu
Niliyemuhangaikia leo ananisema vibaya
Natafakari Wanadamu
Tuna mioyo gani
Kama Wanyama
Hatuna hurumaa
Yani mpaka ninahurumiwa na watu
Mateso yasiishaga katu
Nimeyaacha
Ninamuachia Mungu
Kama moyoni mwangu
Pale hawakuthamini
Hata nisiposamehe
Hawawezi jifunza
Sio wote wataniomba msamaha
Wengine walikufaga
Sijui nitatunza vya nini
Wajua ninamaumivu ya moyo
Mengine katu siwezi sahau
Ila ninasamehe
Ninasamehe
Wala sio kwa ajili ya mtu
Wala sio kwa ajili ya dunia
Ila kwa moyo Wangu
Na amani ya Kesho
Ohoooo
Ohooooo
Eheeeee eheeeee
Ahaaaaaaaa
Nimesamehe
Nimesamehe
Nimesamehe
Baki na Amani
Nimesamehe
Nimesamehe
Nimesamehe
Ili nisamehewe
Ohoooo ohoo
Ohooo ohoo
Kwa ajiliiiiiiii
Asante Yesu...
Writer(s): Goodluck Gozbert,
Lyrics powered by www.musixmatch.com