Texty

Hakuna hakuna hakuna Hakuna usiloweza Hakuna hakuna hakuna Hakuna usiloweza Wewe ni Mungu wakuabudiwa Milele yote wewe ni kiongozi Uliwavusha wanaisraeli Bahari ya shamu kwa uwezi wako Maserafi makerubi wanasujudu mbele zako Wanazivua taji zao mbele zako wakisema Niwewe wastahili heshima Lazima tuimbe tulisifu jina lako Hakuna hakuna hakuna Hakuna usiloweza Hakuna hakuna hakuna Hakuna usiloweza Hakuna usiloweza Yesu Hakuna usiloweza Yesu Hakuna usiloweza Yesu
Writer(s): Essence Of Worship Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out