Texty

Sema aya wee, Aya wee Aya wee, aya wee Aya wee, aya wee Aya wee, aya wee Naitwa mr misifa, Nina sifa zangu mimi Sifa ya kwanza nikipenda sisubiri Mbili mshamba wa mapenzi boya kweli Mpaka Kajala anajua We mama utaniua mama Na mdogo mdogo utanitoa roho Nichinje mie Na unavyocheza utanitoa roho Bado haijatosha Ongeza mpaka uone sijitambui Nisahau mama na baba wote siwajui Jamani Paula utaniua ma, Wewe mama utanitoa roho Nichinje mie, Na unavyocheza utanitoa roho Jaman Mie Sio mshamba wa mapenzi kugombania mapenzi siwezi Ya nini eeh,
Writer(s): Khalid Mwalami Mtumbuka Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out