Texty

Mazuu on the beat, records Uuuh uuh uuh uuh Yale maneno matamu nikafikiri nyota njema Mara asubuhi asubuhi moyoni Akumiminia yale ya sumu ulikusudia kunichoma Ingali sijui sijui kisa nini Nimeamini penzi penzi zigo la mwiba Ishanichoma na kunipofua moyo (moyo) Bila ye siwezi mwenzenu napata shida Amani sina kinauma kidonda changu Kitachelewa (uuh uuh uuh) Kupona kitachelewa chelewa (uuh uuh uuh) Sema kitachelewa sweety Jamani kidonda changu Kitachelewa (uuh uuh uuh) Kupona kitachelewa chelewa (uuh uuh uuh) Sema kitachelewa sweety Yarabbi moyo wangu Yale mahaba ninyonge Nitaya miss sana (siunajua) Unafanya nikonde Shilingi sina (ningenunua) Umenipora ata tonge Ingali shibe sina (utaniua) Ningekunywaga na pombe Ila kichwa sina (nitazimia) Nimeamini penzi Penzi zigo la mwiba Ishanichoma Na kunipofua (moyo moyo) Bila ye siwezi Mwenzenu napata shida Amani sina ninaugulia Kidonda changu Kitachelewa (uuh uuh uh) Kupona kitachelewa chelewa (kidonda changu) Sema kitachelewa sweety Jamani kidonda changu Kitachelewa (uuh uuh uuh) Kupona kitachelewa chelewa (uuh uuh uuh) Sema kitachelewa sweety Yarabbi moyo wangu Mmh! Tena sipati usingizi (ai moyo, ai moyo) Ata kula siwezi (ai moyo, ai moyo) Niruhusu niwe chizi (ai moyo, ai moyo) Yote kisa mapenzi (ai moyo, ai moyo) Mazuuu record's, Maximizer Harmonize baby
Writer(s): Rajab Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out