Texty

Nonini (eh) Another homeboys productshizzle Whaat (whaat) Leo niko na nani jamaa Leo niko na nani jamaa Niko na Ni furahiday Okay Cheka na mi ka unajua unafeel poa Cheka na mi ka weh ni bachelor na hujaoa Cheka na mi ka umekunywa na unakojoa Usicheke na mi ju sababu leo ma pesa ntatoa Jamaa leo network blunder Jam saa kumi na moja ndo ilianza Kwani leo ndo kila mtu hupiga simu Ni Friday siku ni lazma tuiheshimu Shika mtoto wako umueke karibu nawe Beshte yako mnunulie beer pia naye Mtu akileta noma hapa pigana naye Manzi akileta maringo joh achana na yeye Kuta mwingine mwambie nipe nawe Condom kibao joh usinikazie weh Safi twende ndani ya ndai manze Bora usiwe mtaro I say Nameless joh nliskia ana yake Mi walinikazia itabidi nimetumia tu masachet Kenya officially niliwafanya drinking nation Na kila Friday joh huwa ni vacation Kuchoma nyama ndo kitu ya kwanza Ushibe vipoa kiugali ndo usiwake haraka Kuchoma maini ndo kitu ya pili Na hii furahiday tunaianzisha mapelee It is okay (okay) Ni furahiday It is okay (okay) Ni furahiday It is okay (okay) Ni furahiday It is okay (okay) Ni furahiday Ni kama saa kumi ya jioni Kuna kitu inasumbua rohoni Niko job niko ndani ya ofisi And I'm feeling kind of uneasy Ninaanza ku-perspirate Veins zangu zina-vasodilate I seem to be allergic to something Or something is allergic to me Najaribu kucommunicate to my friends lakini ata masms haziendi Naangalia nje ya dirisha Na magari ndio hizo Bumper to bumper Ata mdosi hajiskii na kazi madame wote ofisi wamevaa minisketi Kwani Nonini ni nini today OHH OKAY It is okay (okay) Ni furahiday It is okay (okay) Ni furahiday It is okay (okay) Ni furahiday It is okay (okay) Ni furahiday Friday (okay) It's Friday (okay) Ni Friday (okay) It's Friday (okay) Ya mbele inaanza kutubamba saa ngapi Na mamanzi leo unawaleta ka wangapi Ukicome na wale matwins mambo safi Nyundo leo inashikana na makabati Friday kabla nitoke lazma nikuwe nimevaa joh Huwezi jua naeza angukia dame vaajoh Na hawa manzi hawapatikani kwa bar joh Tumbo inakuleta chukua gazeti joh Jibanze na ujisunde nayo kwa choo Na ikikataa kwenda maji tu kwa ndo Cruising kwa gari napitia Koinange Kula na macho tu mzee unaonaje Usione vile watoto huwaga wamejirembesha Na kwa club wanaume ndio hao wanawachekesha Friday vitu hufanyika joh huwaga zinanshangaza Wasichana kwanza vile huwaga wanazisambaza Lakini hakuna shida ni Friday tena Sahau shida zako zote na uanze kucheka Leo ikurarukie ikubamba hakuna haja ya kuteta Bora tu mfukoni mzee umejaa mapesa It is okay (okay) Ni furahiday It is okay (okay) Ni furahiday It is okay (okay) Ni furahiday It is okay (okay) Ni furahiday It is okay (okay) Ni furahiday It is okay (okay) Ni furahiday Its okay (okay) Ni furahiday It is okay (okay) Ni furahiday Friday (tuna, tuna tunavasodilate) Its Friday (tunaperspirate) Ni Friday (tunavasodilate) Its Friday (tunaperspirate) Ka ni Friday na unajua umeoa Pete joh lazima utatoa Ka ni Friday na unajua umeoa Pete joh lazima utatoa Ka ni Friday na unajua umeoa Pete lazima joh utatoa Nonini na Nameless Ni Furahiday
Writer(s): David Mathenge Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out