Nabízeno v

Kredity

PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Mbosso
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Mbosso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Nusder Venom
Nusder Venom
Producer

Texty

Natoka zangu kwetu Kibiti
Naisaka Dar es Salaam
Naenda tafuta riziki
Niwatunze baba na mama
Zikiungana haba na haba
Ndio kilo inatosha
Chunga miguu kuvaa rubber mwana
Zisizo kutosha
Anayesema riziki mafungu saba
Anakupotosha
Riziki mafungu mawili
Kupata au kukosa
Aliyoyasema baba
Heshima ya nyumba si dirisha
Dunia ni saa mbovu mwana
Usije ifwatisha
Vingine vinakaba
Lazima unywe maji kupitisha
Umia upate kovu baba
Maumivu yatakwisha
Hata mate kinywani ya uchungu
Nayameza kwa tabu jama
Maisha yangu mazingaombwe
Ya maajabu sana
Oh mama ooh
Eeh mama eeh
Ooh shida, ooh shida, ooh shida
Shida zitakwisha lini
Ooh shida, ooh shida, ooh shida
Shida zitakwisha lini
Najipa matumaini nitafute nisichoke
Moyoni nikiamini kuwa Mungu ni wetu sote
Ila, mbona kwangu sasambu, sasambu
Sipati usiku si mchana
Ama kitabu cha riziki yangu tayari kimechanwa, eeh eh eeh
Baba mama chama na mogela
Yani mimi ndio nategemewa
Nakaza nashinda kombolela
Nikipigwa nabutua hewa
Hata mate kinywani ya uchungu
Nayameza kwa tabu jama
Maisha yangu mazingaombwe
Ya maajabu sana
Ooh mama ooh (Ooh)
Eeh mama eeh (Oh ooh)
Ooh shida, ooh shida (Oh ooh), ooh shida (Ooh shida)
Shida zitakwisha lini (Mama-mama eeh)
Ooh Shida (Mama-mama eeh)
Ooh shida, ooh shida (Ooh) (Mama-mama aah)
Shida zitakwisha lini
Written by: Mbosso
instagramSharePathic_arrow_out