Hudební video

Christian Bella ft Ali Kiba - Nagharamia
Přehrát hudební video {trackName} od interpreta {artistName}

Nabízeno v

Kredity

PERFORMING ARTISTS
Alikiba
Alikiba
Performer
Christian Bella
Christian Bella
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ally Salehe Kiba
Ally Salehe Kiba
Songwriter

Texty

Maa-aah (Yeah!) Ma eh, ma-ah iyee Ukimwona Kapendeza Si utafikiri katokea mbinguni Ni mtoto mkali Kaumbika mama (mama eeh) Nahisi kama nishawahi kumuona Kafanana na nani? Kwani ni nani? Demu fulani Kama namjua Kafanana na nani? Kwani ni nani iyee Demu fulani Kama namjua Kiba we we we we (yeyeye iyee) Ali we yeyeyeye (iyee, kama namjua) Kiba we we we wee unamjua huyu demu De-de-de-demu, de-de-de-demu deeh Iye-ye-ye-ye (iye) Iye-ye-ye-ye (iye) Iye-ye-ye-ye (iye) iyee iye Iye-ye-ye-yeee Iyee yooh iye ooh-oooh Namuona tu Kasura kazuri Ni binti fulani ye Marashi mazuli na gari kali eh Ni kweli Amependezaa Kama ni hurulaini Mimi ni demu wangu huyo (Ninagharamia) Kweli ampendezaa Hurulaini iyee Demu wangu wewe (Ninagharamia) Bella we-we-we-we ooh (iyee) Kwani vipi we-wee (Ninagharamia) Bella we-we-we-we unamjua huyu dem (De-de-de-dem) (De-de-de-dem) Oh no no nashindwa kuvumilia Huyu mtoto kanipagawisha Kila nikikutana naye Moyo wangu una dunda dunda Nataka tu kujuana naye Awe kama rafiki wangu Labda moyo wangu itatulia tuliiia Bella siachi raha kwa ubishi Na mvumilivu hula mbivu ooh Nishamaliza ngombe nzima Kabaki mkia huyo Oh ma' azali Ma' azalii Ma' azali mwa si kitoko Myifo balula ye Oya zali na bote naye Azali mwa si kitoko (kuteka na ngai ye) Meifo balula yeye (mwasi na ngai ye) Oye zali na mutema yeye (na lingio lingio) Ngana sengi tobina mama Katee, katee (kate) Katika kata (kata) Kate katee (yako kata loketo mama) Yaka katika, yaka katika (yaka tobina mabina mboka) Katee katee (kate) Katika kata (Kate) Kate katee (yako kata loketo) Yaka katika, yaka katika (yaka tobina mabina mboka) Katee katee (kate) Katika kata (kata) Kate katee (yako kata loketo mama) Yaka katika, yaka katika (yaka tobina mabina mboka) Katee katee (kate) Katika kata (kate) Kate katee (yako kata loketo) Yaka katika, yaka katika (Yaka tobina mabina mboka) Aah-aah Mabina mboka Yako kata loketo Mama ah-ahh Iye iye iye iye (iye) Iye-yoo-ooh Iye-oh-ooh
Writer(s): Ali Saleh Kiba, Christian Bella Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out