Texty

Kifo Kifo Kifo Oh! Kifo Kifo Kifo Oh! Nuru imepotea mbele atuoni, giza! Kila kona machozi masikitiko oh! Mmh! Nafsi za nyong'onyea uzuni moyoni unaumiza Kitabu kizuri ndio ukurasa ya mwishooo Vizuri havi dumu nenda magufuli umetimiza majukumu baba Vizuri havidumu nenda jembe letu! Kuacha mabarabara, maosipitali, wananchi ulivyo wajali Masikini wakila hali magufuli wetu Upendo kwa wasani kila mahali ulifurahi nasi ukutajli Zile kufia kumbukumbu umefunga safari magufuli wetu Kina mama atawafuta nani machozi Wafungwa ulio wasamehe atawafuta nani machozi Navijana atatufuta nani machozi Wazee, Wazee Atawafuta nani machozi! Umeacha alama kumbukumbu isio futika Pengo lako magufili sidhani kama litazibika Moyo unalalama sisi bado twauzunika Umefanya kazi ngumu shujaa basi nenda kupumzika jembe letu Kifo! Kifo! (Kifo Oh!) Kwanini kifooo?! Kifo! Kifo! (Unachukua wema tu unachukua mashujaa kifoo) Kifo! (Kifo kifo) hauna! (kifo) hauna! (kifo) hauna! (Kifo) hauna huruma!
Writer(s): Rayvanny Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out