Hudební video

Nabízeno v

Kredity

PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Harmonize
Harmonize
Songwriter

Texty

Yah yah Ah ha ha ha ha, Jeshi (Imma in the beat) Wakati wanahanya kugombea kiti Wanadanganyana na viewers wa ku-cheat Mie jicho lipo nyanya nilishakula kijiti Na magoma yakipigwa huko club mtiti Ninachojua masela huko mtaani kuna dhiki Ndo maana sitingishi hela, wala ninavyovimiliki Mafumbo andika kwa dela, watu wanataka muziki Mara kumi mwanangu wa sindelela, yeye hapendagi makiki oh na, na-na Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza (uhg) Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza I'm your teacher, teacher Konde Teacher, teacher Konde I'm your teacher, teacher Konde Teacher, teacher Konde Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza (uhg) Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza Ninachojua masela huko mtaani kuna dhiki Ndo maana sitingishi hela wala ninavyovimiliki Mafumbo andika kwa dela watu wanataka muziki Mara kumi mwanangu wa sindelela yeye hapendagi makiki oh na, na-na Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza (uhg) Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza I'm your teacher, teacher Konde Teacher, teacher Konde I'm your teacher, teacher Konde Teacher, teacher Konde Naika kupoteka, karipambilile, eh Mwaka nakutayonja, nakutayonji Navanta na mwi makonde Vanemba, Newala Hadi ku-Tandahimba Naika kupoteka, karipambilile Teacher, teacher Konde Teacher, teacher Konde I'm your teacher, teacher Konde Teacher, teacher Konde Safi, safi sana Ah, teacher Konde (teacher Konde) Ah, teacher Konde (teacher Konde)
Writer(s): Harmonize, Rajab Abdul Kahali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out