Podobné skladby
Kredity
COMPOSITION & LYRICS
Frank Felix Ngumbuchi
Songwriter
Texty
Haliya kuwa nimebaki mwenyewe
Sina hili wala lile
Nimekuwa kama zoba nimezubaa
Kama ni kuku kifaranga kwa mwewe
Ataenda huku ataenda kule
Atapigwa roba atasombwa
Nimemuachia ushindi
Japo mi ndo nimeshinda
Nimenawa basi
Nenda mama nenda
Mtu umekaa huna amani
Hakuba mapenzi atakupa nani
Sahani yake ipo sokoni
Yanunuliwa kama nyama buchani
Nimemuachia ushindi
Japo mi ndo nimeshinda
Nimenawa basi
Nenda mama nenda
Nitamsemea wapi
Hata ndugu yake mmoja sikumjua
Nitamsemea wapi
Ohhh ohh oh
Nitamsemea wapi
Naona joto naona baridi
Nitamsemea wapi
Leo nafungua koo
Nishaumia sana roho
Yanini nikae nayo
Na yananitesa
Ogopa chozi linalotoka
Likimtaka Mungu aje asaidie
Binadamu akishindwa
Kibao kimegeukia kusini
Maneno juu chini hayasomeki
Upepo mkali ila bendera haipepei
Mapenzi yana nguvu ya ziada
Nimemuachia ushindi
Japo mi ndo nimeshinda
Nimenawa basi
Nenda mama nenda
Nitamsemea wapi
Hata ndugu yake mmoja sikumjua
Nitamsemea wapi
Ohhh ohh oh
Nitamsemea wapi
Naona joto naona baridi
Nitamsemea wapi
Writer(s): Frank Ngumbuchi
Lyrics powered by www.musixmatch.com