Texty

Nduguni nimewaitenii, Naomba mnielewe Mwajua kuna mgeni abidi akirimiwe Nduguni nimewaitenii, Naomba mnielewe Mwajua kuna mgeni abidi akirimiwe Atoka kwa rahmani, Lazima aheshimiwe Atoka kwa rahmani, Lazima aheshimiwe Mgenii mwenye thamanii, Hadhii yake apatiwe Mgenii mwenye thamanii, Hadhii yake apatiwe Tuzingitie aibuu, mgenii huyuu ni mwemaa Tumwoneshee adabuu, mapenzii na kujitumaa Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa Anafikia nyumbani, Kwa licha ya karibuni Anaitwa Ramadhani, Wenyeji ni mimi na wewe Anafikia nyumbani, Kwa licha ya karibuni Anaitwa Ramadhani, Wenyeji ni mimi na wewe Tumfanyie hisanii, Tamanii tusitoenii Tumfanyie hisanii, Tamanii tusitoenii Hazizidi siku thelathini, Nichache siku zenyewe Hazizidi siku thelathini, Nichache siku zenyewe Tuzingitie aibuu, mgenii huyuu ni mwemaa Tumwoneshee adabuu, mapenzii na kujitumaa Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa Akirimiwe mgeni, Mgeni akirimiwee Asomewee Qur'anii, Na sadaqa zitolewee Akirimiwe mgeni, Mgeni akirimiwee Asomewee Qur'anii, Na sadaqa zitolewee Tujumuike jamanii, Wanyonge wafaidii Tujumuike jamanii, Wanyonge wafaidii Usiku tusimamenii, natija yetu wenyewee Usiku tusimamenii, faida yetu wenyewee Tuzingitie aibuu, mgenii huyuu ni mwemaa Tumwoneshee adabuu, mapenzii na kujitumaa Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa Zaidii ya swala tano, Tarawehe ziswaliwe Uwe muda wa mavuno, Atue huyu apewe Zaidii ya swala tano, Tarawehe ziswaliwe Uwe muda wa mavuno, Atue huyu apewe Wala hapendi maneno, Uupuzii asisemewee Wala hapendi maneno, Uupuzii asisemewee Na vitendo kwa mfanoo, Vya kuudhii wengineo Na vitendo kwa mfanoo, Vya kuudhii wengineo Tuzingitie aibuu, mgenii huyuu ni mwemaa Tumwoneshee adabuu, mapenzii na kujitumaa Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa Akirudii kwa wahabuu, ripotii iwee ni njemaa
Writer(s): Baraka Mkande Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out