Texty

SMG Wamemchokoza tena bwana Wamemchokoza bear Umeskini niache eeh! eeh! Eeh! Umeskini niache eeh! eeh! Eeh! Umeskini niache eeh! eeh! Eeh! Aah! Ulimuondoa mama kipindi yupo hoi anaumwa Akapoteza uhai kisa pesa ya matibabu hakuna Wewe ndio sababu ya kuvunja ndoa ya Fatuma Mumewe mambo mazito haujampa pesa umeuchuna Niache niende bwana nimechoshwa na Maisha huku sitimbi Unadhani sitamani kupiga picha kidimbwi Nizungushe wapambe mezani tungi jingi Mixer kuagiza vinywaji vijavyo a cheche nyingiti Umeniganda aisee,umeniganda kama ruba Hivi we ni jinsia gani, hiv ni pisi ama mjuba Unanichanganya kuna muda nautamani msuba Unanizeesha, unanikondosha sasa si unipe tu hizo We ndiyo sababu ya dada zangu wake kona wanajiuza Na Kaka zangu wawe wezi huko Buza Na mama zangu wakeshe kuuza vitumbumbua Unawatesa baba zangu kuwazugusha kwenye jua Usione tabasamu usoni moyoni mimi sina furaha (Eeh) Usione napendeza nje, ndani mimi nakufa na njaa Umaskini niache, niache, niache Umaskini niache, niache, niache Nimesoma kidumu ufagio Kayumba ndio nako weza Hivi unadhani sitamani Watoto wangu wasome fedha Daily kwa mganga napiga manyanga Nazi njia panda, ili mladi tu niweza kuupata huo mkwania Nikuulize nikiwa Taiiri inakuuma nini Au navyoitwa mbahiri kiongozi unapata nini Au navyoitwa mbahiri kiongozi unapata nini Iseeh, tumechoka kubet tutaliwa mpaka lini Kwenye mapenzi,wengi tupo tu ilimradi Ukiitwa mpenzi na hauna pesa wewe ni mpenzi mtazamaji Au unafurahi nikitwa dume suruali Dume nisiye na gari, dume nisiye na maisha ya ufahari Mimi nikiendesha ujue naharisha Mbona kwangu mambo bado Mimi nikiendesha ujue naharisha Mbona kwangu mambo bado Inatosha iseeh,hembu niache niende zangu Nipate utajri nikakae na maboss wenzangu Usione napendeza nje, ndani mimi nakufa na njaa Umaskini niache, niache, niache Umaskini niache, niache, niache Umaskini niache, niache, niache Maisha wanayoishi vote tunayaunda sisi Watoto wa shangazi bado ni wahudumu wa bar Hawapendi wanachofanva sema ndio hivvo tu wana niaa Na mjomba wangu bado ni mkataa mkaa Mtoto wake fundi mwashi mienzi wa majengo ya mtaa Hivi kwa nini kazi ngumu zote za sisi maskini Unatuona power mabula eeh!!! Dah! Hivi kwa nini? Maisha wanayoishi vote tunayaunda sisi Mijengo magari mpaka hayo maofisi Nachukia nikiona sura ya mbunge wangu Nawaambia haki va nani nimpoteza kura yangu Anasinzia bungeni hatetei Maisha yangu Bora peke vangu mimi pekee na fuvu langu Usione napendeza nje, ndani mimi nakufa na njaa Umaskini niache, niache, niache Umaskini niache, niache, niache Umaskini niache, niache, niache Nimekuchokaaah (Nimekuchokaaah) Nimekuchokaaah Nimechoka Nimechoka aaah SMG
Writer(s): Bonventure Eliuter Kabogo, Paul Timoth Mwasile Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out