Texty
Pekee yangu sitaweza
Tembea nI'mi Baba
Kwa nguvu zangu ninashindwa
KusimI'ma
Kuyashinda majaribu
Hekima yangu haiwezi
Kunitoa kwa mitego ya muovu
Nishikilie, nishikilie
Tembea nI'mi Baba
Haulali hausinzii
Hausahau haudanganyi
Haushindwi na lolote
Heshima, heshima
Heshima, heshima
Twakupa utukufu heshima na mI'mlaka
Twakupa sifa zote
Twakuabudu Baba
Haushindwi na lolote
Wewe ni mueza yote
Haulali hausinzii
Hausahau haudanganyi
Haushindwi na lolote
Heshima, heshima
Heshima, heshima
Heshima, heshima
Heshima, heshima
Writer(s): Peterson Githinji
Lyrics powered by www.musixmatch.com