Texty

Mmmh Baaaaad Shillilllili!! Mnanipenda yes papa Aaah yes papaa Mnanikubali yes papaa Eeh yes papaa Si mnanipenda yes papaa Aah yes papaa Mnanikubal yes papaa Eeeh yes papaa Aaah Sina noma na dangote Sina noma na king kiba sina noma na kondeboy sina noma na vanny boy Nikisema mmmmmmh mariooo Mnasema Aaaaah huna baya sema Mmmmmmh marioo Aaaaah huna bayaaa Yani kamba juu ya kamba miwa kama fei toto Kila kona me natamba mawe yote ya moto Masela wangu Oooooooh tulewe leo Oooooooh tulewe leo Masela wangu Ooooh tukunywe le0oo Oooooh tukunywe leo Kwasababu sina noma na chibudenga Sina noma na king kiba Sina noma na konde booooooy sina noma na Chuiiiiiii Aaah Sina noma na dangote Sina noma na king kiba sina noma na kondeboy sina noma na vanny boy Nikisema mmmmmmh mariooo Mnasema Aaaaah huna baya sema Mmmmmmh marioo Aaaaah huna bayaaa
Writer(s): Nadia Sanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out