album cover
Nakesha
album cover
Skladba Nakesha vyšla 15. února 2023 D LOVE na albu Nakesha - Single
15. února 2023
ŠtítekD LOVE
BPM176
Melodičnost
Akustičnost
Valence
Tanečnost
Energie

Hudební video

Hudební video

Texty

Moyo umekua sugu hadi maumivu yanadunda,
Siogopi waongo sipokei wakweli mapenzi yamenifunza...
Tamu imekua chungu moyo ulifanywa punda,
Hadi mizigo ya kokoto ikanichosha mwili machozi nikafuta...
Sio kama siogopi kuumia tatizo nishaumia sana
Mapenzi ya maharamia nikachukia ujana
Kuna muda nawaza rudia tatizo nikipenda sana
Ndo nafasi wanaitumia kuniumiza mchana
Na USIKU USINGIZI SIPATI
Nakesha (usiku nalia bahati sina)
Nakesha (bora pombe mapenzi sitaki)
Nakesha (ya nini kuumia bora nile dawa)
Nakesha.... (MAPENZI SITAKI)
Kila napotarajia nitafurahia ndo nazisisha maumivu kwa ndani mwili umekufa ganzi...
Kila pendo naloingia yanajirudia kunikatisha tamaa mnyonge mwana simanzi...
Kama ningeliweza kuchagua
Utotoni ningeamua
Bora hata nisingeyajua
Yataniua mapenzi....
Sio kama siogopi kuumia tatizo nishaumia sana
Mapenzi ya maharamia nikachukia ujana
Kuna muda nawaza rudia tatizo nikipenda sana
Ndo nafasi wanaitumia kuniumiza mchana
Na USIKU USINGIZI SIPATI
Nakesha (usiku nalia bahati sina)
Nakesha (bora pombe mapenzi sitaki)
Written by: Gabus Juma Suleima
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...