Hudební video

Hudební video

Kredity

PERFORMING ARTISTS
King Kaka
King Kaka
Vocals
Amos
Amos
Performer
Josh
Josh
Performer

Texty

[Verse 1]
Ni how, uliniwacha mi bila faham
Kuwa ni yako zamu
Angalau
Ungeniambia eti unakam
Nitulize hamu
Wangu wa dhati, hey
Tamaa zangu zimenikwamia
Mikononi, labda huu ni mwisho wa dunia
[PreChorus]
Safiri salama, msalimu Maulana
Tutaonana baadaye, uuh
Safiri salama, msalimu Maulana
Tutaonana baadaye
[Chorus]
Ooh ndiyoo, tutaonana baadaye
Mpendwa ndiyoo, tutaonana baadaye
Nakam nakam, mpendwa tabasam
Tutaonana baadaye, heey
Nakam nakam, mpendwa tabasam
Tutaonana baadaye, huu
[Verse 2]
Waah, okay
Natamani kujua what your plot is
Hata landlord hupeana notice
Aki Maulana ingilia kati
Fees ni expensive but worth it
Kwanini uliamua kutangulia
Diet yangu imechange, tabia ya kulia
Usingizi nakutamani, kushoto kulia
Unakuja lini, nitabasamu tena
[Verse 3]
Unanitenda, aliyekuchukua sijui nani alimtuma
Maombi ni ati wakati rudi nyuma
Jioni nikirudi, nikupate kwa nyumba
Ju zimeshikana ni ngumu kuvunja
But, ka una haraka nenda kwanza
Niko na I-Bag sijalala na usalimie Maulana
[PreChorus]
Safiri salama, msalimu Maulana
Tutaonana baadaye, hooh
Safiri salama, msalimu Maulana
Tutaonana baadaye
[Chorus]
Ndiyoo
Ndiyoo, tutaonana baadaye
Ooh nakam nakam, mpendwa tabasam
Tutaonana baadaye, ooh
Nakam nakam, mpendwa tabasam
Tutaonana baadaye
[Chorus]
Ndiyoo
Nakam nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye
Ndiyoo
Nakam nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye
[Chorus]
Ndiyoo
Nakam nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye
Hey ndiyoo
Nakam nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye
[Outro]
Nakam nakam, mpendwa tabasam
Tutaonana baadaye
Nakam nakam, mpendwa tabasam
Tutaonana baadaye
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...