Texty

Akisema atakubariki hakuna atakayezuia Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote Akisema atakubariki hakuna atakayezuia Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote Akisema atakubariki wala usitie shaka Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote Mipango yake ya ajabu tena haibadiliki Akisema atakuinua ndiye mwenye kuinua Akisema atakupa mtoto katika umri wowote Aliwapa Sarah na Hannah lipi asiloweza Akisema atakubariki hakuna atakayezuia Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote Akisema atakubariki hakuna atakayezuia Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote Akisema atakubariki watoto wako waelimike Wapate na shahada nyingi hakuna atakayezuia Akisema utapona hakuna atakayezuia Kwani yeye ndiye Mungu mwenye baraka zote Akisema utapona hakuna atakayezuia Mama aliyetokwa na damu aliponywa na hiyo kanzu yake Akisema atakubariki hakuna atakayezuia Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote Akisema atakubariki hakuna atakayezuia Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote Watembelea miguu hata baiskeli huna Akisema akupe gari upendalo niambie nani azuie Waishi nyumba ya matope huna hata mavazi Akianza kukubariki majirani watashangaa Akisema atakuinua mbele ya adui zako Atakwandalia meza ule unywe wakitizama Akisema atakubariki hakuna atakayezuia Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote Akisema atakubariki hakuna atakayezuia Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote Akisema atakubariki hakuna atakayezuia Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote Akisema atakubariki hakuna atakayezuia Kwani Yahweh ndiye Mungu mwenye baraka zote
Writer(s): Jemmimah Thiong'o Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out